Sawa fanya ufanyavyo lkn pesa ndiyo kila kitu.mkuu haupo sawa kabisa mtaji unaweza kuwa fedha au wazo Kwa hali ya kawaida utaona sio sawa ila kiujasiriamali hilo lipo sawa kabisa
Mkuu nimekupm naomba uchekiKwa vyeti unakopeshwa mwisho Tsh200,000 kama upo Dar nicheki.
Hapo ndio tunapoona kuwa mfumo wetu wa elimu uliojikita kwenye utoaji wa vyeti badala ya maarifa usivyo na faida kwa taifa letu!Kwenye suala la pesa/mkopo vyeti vya taaluma au shule kama dhamana ni useless...
Vyeti vyenye tija ni kama- hati ya nyumba, kadi ya gari, hati ya kiwanja au shamba ambavyo hata asiyeenda shule akiwa navyo anajipatia mkopo...
Cc: mahondaw
Mtoa mada sijui kama umeandika hii thread kwa uhalisia au kwa utani.. lakini nikusaidie zipo banks na some financial institutions ambazo hutoa mtaji kwa graduates ambao wanakuwa na mawazo mazuri ya biashara.. ukiwa na wazo zuri wao hukufinance ili ufanikiwe ili nao baadae waweze faidika.. i'll go deep baada ya game ya taifa kwisha..
Kama ni ke sema upewe mkopo wa masherti nafuu. Vyeti tundika ukutani
Hivi unajua thamani ya wazo bora la biashara, unafikiri kwanini kuna taasisi zenyewe zinahitaji business proposal ili zitoe funds kwaajili ya mradi husika? Mtu aliypata pesa kwa namna hiyo akaendesha mradi wake kwa mafanikio, je unadhani mtaji wake ulikuwa pesa ama mawazo bora?Hakuna mtaji wa mawazo bali mtaji ni pesa. Watu wana mawazo mazuri sana lkn hakuna pesa ya kufanikisha mawazo yao.
N:B
Mawazo na mtaji ni vitu viwili tofauti.
1. Mawazo ni mtaji?
2. Mtaji ni mawazo?
Hayo maswali mawili huwezi kujibu utaishia kudanganya watu.
Mtaji wake ni pesa sbb bila pesa huwezi kutekeleza mawazo yako mazuri.Hivi unajua thamani ya wazo bora la biashara, unafikiri kwanini kuna taasisi zenyewe zinahitaji business proposal ili zitoe funds kwaajili ya mradi husika? Mtu aliypata pesa kwa namna hiyo akaendesha mradi wake kwa mafanikio, je unadhani mtaji wake ulikuwa pesa ama mawazo bora?
unaweza tumia nyumba kama mtaji au shamba lako kama mtaji pasipo kuwa na hata mia mfukoniSawa fanya ufanyavyo lkn pesa ndiyo kila kitu.
Ni biashara gani utaifanya bila kuwa na pesa na ukafanikiwa?
Ila siyo mawazo. Mawazo mazuri yatakupa mwanga wa kufanya kile ulichodhamiria na kufanikiwa.unaweza tumia nyumba kama mtaji au shamba lako kama mtaji pasipo kuwa na hata mia mfukoni
mbeya-dsm ukafate laki 2?!!Mimi nipo mbeya nina cheti cha chuo kikuu. Vipi haijalishi masomo niliyosoma?
Naweza kuja Dar! Hali ni ngumu.
Yaani ingewezekana serikali nayo ingesaidia kuunda taasisi ya mikopo kwa dhamana ya vyeti.
[emoji23] [emoji23]Unauza cheti? Ole wako akikusikia!
wanafunzi bumu lao wanaendea disco,hawafikiri chochote kuhusu biashara akimaliza chuo akikosa kazi ndio anaanza kufikiria kujiajiri lazima ukose mtaji ila ukianza na mawazo ya biashara muda mrefu unaweza anza na mtaji wowote ulio na uwezo nao!Hakuna mtaji wa mawazo bali mtaji ni pesa. Watu wana mawazo mazuri sana lkn hakuna pesa ya kufanikisha mawazo yao.
N:B
Mawazo na mtaji ni vitu viwili tofauti.
1. Mawazo ni mtaji?
2. Mtaji ni mawazo?
Hayo maswali mawili huwezi kujibu utaishia kudanganya watu.
1.Ww umesoma chuo?wanafunzi bumu lao wanaendea disco,hawafikiri chochote kuhusu biashara akimaliza chuo akikosa kazi ndio anaanza kufikiria kujiajiri lazima ukose mtaji ila ukianza na mawazo ya biashara muda mrefu unaweza anza na mtaji wowote ulio na uwezo nao!
Bank gani au financial institution ipi? Hizo ni nadharia. Kupata mkopo kwenye mabenki yetu ni kazi. Kama huna dhamana basi uwe mtumishi. Mwenye wazo la biashara utasubiri sana.Mtoa mada sijui kama umeandika hii thread kwa uhalisia au kwa utani.. lakini nikusaidie zipo banks na some financial institutions ambazo hutoa mtaji kwa graduates ambao wanakuwa na mawazo mazuri ya biashara.. ukiwa na wazo zuri wao hukufinance ili ufanikiwe ili nao baadae waweze faidika.. i'll go deep baada ya game ya taifa kwisha..