ndetia
JF-Expert Member
- Jun 9, 2012
- 616
- 669
nilikuwa na sources nyingne za income,bumu nilikuwa naendea disco1.Ww umesoma chuo?
2.Km ulisoma, bumu lako ulikuwa unafanyia nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nilikuwa na sources nyingne za income,bumu nilikuwa naendea disco1.Ww umesoma chuo?
2.Km ulisoma, bumu lako ulikuwa unafanyia nini?
kusema wazo nilikosa neno sahii la kiswahili la non-financialIla siyo mawazo. Mawazo mazuri yatakupa mwanga wa kufanya kile ulichodhamiria na kufanikiwa.
Nikija huko sirudi mbeya!mbeya-dsm ukafate laki 2?!!
ukienda ukirudi imebaki laki[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Mtu unapata laki mbili ya hamsini kwa mwezi na bado unataka apate mtaji..kuweni serious bhana..hio ni hela ya kujikimu tu..wanafunzi bumu lao wanaendea disco,hawafikiri chochote kuhusu biashara akimaliza chuo akikosa kazi ndio anaanza kufikiria kujiajiri lazima ukose mtaji ila ukianza na mawazo ya biashara muda mrefu unaweza anza na mtaji wowote ulio na uwezo nao!
Angekuwa ke angefika kote huku?Kama ni ke sema upewe mkopo wa masherti nafuu. Vyeti tundika ukutani
Fyatu sikuhizi hicho kitu chao si mali tena. Hata kwenu bonde wawaona wanavyohangaikaAngekuwa ke angefika kote huku?
TALA ndo wapi huko mkuumbona vyeti kitu kikubwa TALA wanakopesa dhamana kitambulisho cha mpiga kura na picha yako tu
Mkuu sio kila mtu vyeti vyake hana uchungu navyo, yaani vyeti nivihangaikie kwa miaka kadhaa na pesa nyingi eti leo nije kuvitelekeza kwa 2 au 3 millions? Serious? Mtu anakuwa na uhakika na kile anachotaka kufanya na anajua atarudisha kwa muda muafaka.Hakika inasadifu hivyo vyeti vyako bila kujali ulivipataje havina maana yoyote. Hivi mathalani ndo unaongoza taasisi ya mikopo sijui itajiendeshaje, yaani mtu aki default kulipa unauza vyeti ili kurejesha pesa ama?
Mtaji wa kwanza ni mawazo kama umeshindwa kufikiri basi mtaji mwingine tumia nguvu za mwili.
Kwa vyeti unakopeshwa mwisho Tsh200,000 kama upo Dar nicheki.
hio ni campuni ya kutoa mikopo nahisi ipo kenya ila inatoa mikopo online utaweka kitambulisho na picha alafu maswali yao ukifanikiwa hapo mkwanja unazama Kwa simu yako kiasi ulichoomba ila kumbuka huwezi watoroka maana uliacha picha na kitambulisho chako pamoja na ile barcodeTALA ndo wapi huko mkuu
Unahitaji mkopo wa kiasi gani?Wakuu,
Nataka kujua wapi wanaweza kumpa mtu mkopo kwa dhamana ya kuweka vyeti vyake iwe cha O-level, Advance, Chuo au vyote kwa pamoja.
Kutokana na hili janga la ajira kutopatikana wasomi wengi tunajikuta tunatunza vyeti kwenye mabegi bila kuwa na faida yeyote na muda unaenda. Ikipatikana sehemu kama hiyo nahisi itanisaidia mimi na wengine pia.
Kama 5-3 millions hivi mkuu kwa project ya kwanza ila kama itashindikana kuna nyingine nahitaji 1.5 million hivi.Unahitaji mkopo wa kiasi gani?
Sasa mimi ndo niuze vyeti vyangu kwa bei hii kweli? Sintakuwa kichaaKama 5-3 millions hivi mkuu kwa project ya kwanza ila kama itashindikana kuna nyingine nahitaji 1.5 million hivi.