Wapi wanatoa nafasi za kazi mradi wa umeme Rufiji?

Wapi wanatoa nafasi za kazi mradi wa umeme Rufiji?

Nafasi za kazi nyingi wanatangaza kupitia website yao hao arab contractors hivyo kama unahitaji kazi kwenye mradi ni vyema uwe unatembelea zaidi website yao
 
Jamani naomba mrejesho kwa waliopeleka maombi na kufanikiwa pale derm plaza
 
Back
Top Bottom