johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
CUF,NCCR MAGEUZI,UDP na TLP wamepata mwenzao.Hata ungekuwa wewe ndio mpiga kura utakataa mshiko Ili chadema kama chama kikusaidie nini!
Lisu akubali uchaguzi ushaisha Mbowe ni mwenyekiti tena na Wenje makamu Mwenyekiti
CCM ni dude Fulani kubwa sana huwezi kulishinda [emoji23][emoji23]
Hongera sana kampeni meneja wa Mbowe Lucas Mwashambwa
Hakunaga chama pale πHovyo kabisaa...
Mbowe ndo shida.Hakunaga chama pale π
Mwita Waitara: Chadema inamilikiwa na Mbowe na Halima MdeeMbowe ndo shida.
Labda ashinde na njaaHata ungekuwa wewe ndio mpiga kura utakataa mshiko Ili chadema kama chama kikusaidie nini!
Lisu akubali uchaguzi ushaisha Mbowe ni mwenyekiti tena na Wenje makamu Mwenyekiti
CCM ni dude Fulani kubwa sana huwezi kulishinda ππ
Hongera sana kampeni meneja wa Mbowe Lucas Mwashambwa
Bwashee uchaguzi ushaisha huo πLabda ashinde na njaa
Acha mwamba atuvushe, tatizo Lissu aliingia kishari sana na kuanza kumtupia lawama Mwenyekiti bila heshima.Bwashee uchaguzi ushaisha huo π
Ni kweli ndo mana kwa sasa yupo kurudisha pesa na mali zake kupitia cdm,sasa akikaa pembeni wapi atapata asali kirahisiBila hata mshiko Mbowe kishashinda mi niwaulize swali rahisi hivi ni nani maarufu katika CHADEMA nani kaitumikia CHADEMA kwa nguvu zake zoteee ??
Mbowe kafilisiwa mali zake sababu ya CHADEMA mnakumbuka BILICANAS leo iko wapi ??? Mnakumbuka mashamba yake GREENHOUSE kule HAI WALIVYOYAVYEKA ??? sasa leo eti mnataka kusema kuwa Lissu ndo ana uchungu saana kuliko Mboweeee ???!!! Jamani acheni unafki !
Sisi CCM tumeanza Zara za Nyumba Kwa Nyumba kutoa Mikopo midogo midogo ya kifamilia πAcha mwamba atuvushe, tatizo Lissu aliingia kishari sana na kuanza kumtupia lawama Mwenyekiti bila heshima.
Ngoja wapambane alimradi chawa wa pande zote mbili wajiandae kisaikolojia kwani yoyote anaweza kushinda, watakaoamua kukimbilia CCM baada ya kushindwa it's well and good. CHADEMA haiwezi kufa kwa sababu ya wanaohamaki kuwahama, they've proved that huko nyuma kwamba wanaweza kupita kwenye misukosuko japo Jiwe aliwalegeza na kuwarudisha nyuma kwa kiasi kikubwa.Hata ungekuwa wewe ndio mpiga kura utakataa mshiko Ili chadema kama chama kikusaidie nini!
Lisu akubali uchaguzi ushaisha Mbowe ni mwenyekiti tena na Wenje makamu Mwenyekiti
CCM ni dude Fulani kubwa sana huwezi kulishinda ππ
Hongera sana kampeni meneja wa Mbowe Lucas Mwashambwa
Mnazitumia zile za Abdul alizozikataa mtia nia wetu.Sisi CCM tumeanza Zara za Nyumba Kwa Nyumba kutoa Mikopo midogo midogo ya kifamilia π