Mbowe anadhani anamkomoa lissu kumbe ndo anaenda kujifiaHata ungekuwa wewe ndio mpiga kura utakataa mshiko Ili chadema kama chama kikusaidie nini!
Lisu akubali uchaguzi ushaisha Mbowe ni mwenyekiti tena na Wenje makamu Mwenyekiti
CCM ni dude Fulani kubwa sana huwezi kulishinda 😂😂
Hongera sana kampeni meneja wa Mbowe Lucas Mwashambwabowe anadhani anamkomoa lissu