Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 19,411
- 21,938
Nimeambiwa wewe kampeni meneja wa WembeHata ungekuwa wewe ndio mpiga kura utakataa mshiko Ili chadema kama chama kikusaidie nini!
Lisu akubali uchaguzi ushaisha Mbowe ni mwenyekiti tena na Wenje makamu Mwenyekiti
CCM ni dude Fulani kubwa sana huwezi kulishinda 😂😂
Hongera sana kampeni meneja wa Mbowe Lucas Mwashambwa