Pre GE2025 Wapiga Kura 1200 Wote Wana Njaa ya kufa Mtu huyo Tundu Lissu anashindaje?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Nimeambiwa wewe kampeni meneja wa Wembe
 


Ni vizuri Lisu akajitoa.
Mbowe ameonyesha wazi kutokuwa na imani na Lisu .
Ajitoe lakini kama kuna Wapiga kura wake basi wapige kura za hapana kwa Mbowe.

Miaka 21 kwenye madaraka ni jambo la kijinga na kufedhehesha chama kinachopigania demokrasia .
Nchi hii itamsubiri Makonda tu kuja kuwanyoosha mafisadi akiwemo Mbowe .

Hakuna katiba mpya mpaka 2050 hili halina ubishi na hakuna mtu wa kuandamana kutetea maslahi ya mtu mmoja na kabila moja . Never.
Wachagga hawanaga muda wa kuandamana maana wana shughuli zao za kibiashara na uchumi . Sasa tuone kama Mbowe atamhamasisha nani kuandamana labda aandamane na walamba asali maana..


Lisu asikubali kuhalalisha uharamia wa Mbowe na genge lake.
 
Wewe uliwahi tegemea Lissu atamgeuka mkewe pamoja na kumuuguza kote kule katika shida na raha? Leo Lissu anamsema Wenje aliyechangia parefu matibabu yake kweli?
 
Pesa inatafunwa na kura hawapigi kwa aliewapa pesa ,kwani kuna mtu anashikiwa panga siku ya kupiga kura ?

Wajumbe watu wakijipendekeza na pesa piga iyo pesa ila akilini jueni la kufanya ,usiache pesa mangi
 
Hatukwazwi na propaganda zenu nyie CCM, Sisi na MBOWE hatunaga mbadala
 
Nyie mbona mnakua na ushauri wa kipumbavu ,ajitoe kwa lipi ? Acheni unafiki ,pumbavu
 
Kutompa kura MBOWE ni kuhalalisha kifo Cha chama chetu pendwa, HATUPO TAYARI KUMPOTEZA MBOWE, huyo Lissu wenu arejee kwao Ubelgiji, atuachie Bongo yetu na Kamanda Mbowe anatosha
 
Hatuwezi kata tamaa boss, ndo kwanza kumekucha.tunaenda na lissu
 
Lissu hawezi kushinda mwenye chama hawezi kuruhusu Hilo litokee,

Ndio maana kuna hati hato kubwa ya chama Hicho kufa Maana asiposhinda lissu ni wazi kwamba atajitoa akijitoa ni wazi kwamba Chama kutapoteza wanachama wengi na mashabiki wa chama Hicho wengi watapotea , yatatokea kama Yale ya cuf baina ya lipumba na maalim seif

Chadema inaenda kupata anguko rasmi maana lissu Kwa sasa Ndiye mtu mwenye influence kubwa ktk chama kuliko hata huyo mbowe Endapo lissu akijitoa basi ni wazi kwamba ushawishi wa chadema utazidi kuporomoka madarufu
 
Mama Abduli mserikali wa kwanza kwenda kumtazama Nairobi bila kumuaga Jiwe

Lisu ni mporipori hastahili kuwekewa dhamana

Angekuwa na busara angejiondoa kwa ustarabu
 
Tunampongeza sana Mbowe kwa uamuzi wake wa kishujaa. Lissu ni adui wa demokrasia na kirusi ndani ya chama rafiki CHADEMA.
 
usianze kujenga fikra kwa watu kuwa mbowe akishinda ametoa ela hio sio sahihi .
 
Kutompa kura MBOWE ni kuhalalisha kifo Cha chama chetu pendwa, HATUPO TAYARI KUMPOTEZA MBOWE, huyo Lissu wenu arejee kwao Ubelgiji, atuachie Bongo yetu na Kamanda Mbowe anatosha
Wewe ni mpumbavu icho chama ni cha umma kama sio cha wanachama ,simwombei mabaya Mbowe, lakini mfano akatokea akafa kwamba na chama kitakua kimekufa ? Acheni mawazo mfu na ya kijinga
 
Nyie mbona mnakua na ushauri wa kipumbavu ,ajitoe kwa lipi ? Acheni unafiki ,pumbavu
Subiri uone !!

Tunataka kuona Sasa Mbowe akiendesha chama bila kuwa na akili kubwa kama atafika wapi?

Amebaki na watu wanaoamini katika siasa za rushwa na Hadaa.

Lisu atakaa pembeni na upande wake wenye watu wenye akili kubwa awaache Machawa . Tuone kama Mbowe na wajumbe wake wanaweza kuhamasisha hata maandamano ya mtaa mmoja kule Machame wakatoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…