Mbowe anadhani anamkomoa lissu kumbe ndo anaenda kujifiaHata ungekuwa wewe ndio mpiga kura utakataa mshiko Ili chadema kama chama kikusaidie nini!
Lisu akubali uchaguzi ushaisha Mbowe ni mwenyekiti tena na Wenje makamu Mwenyekiti
CCM ni dude Fulani kubwa sana huwezi kulishinda ππ
Hongera sana kampeni meneja wa Mbowe Lucas Mwashambwabowe anadhani anamkomoa lissu
CCM DAIMAHata ungekuwa wewe ndio mpiga kura utakataa mshiko Ili chadema kama chama kikusaidie nini!
Lisu akubali uchaguzi ushaisha Mbowe ni mwenyekiti tena na Wenje makamu Mwenyekiti
CCM ni dude Fulani kubwa sana huwezi kulishinda ππ
Hongera sana kampeni meneja wa Mbowe Lucas Mwashambwa

Wewe ni lissu? nawambieni vita haikimbiwi , nasema tena ni mjinga tu wa kushauri eti lissu akimbie , kwani nyie kwa nini amini kwamba Mbowe hakutakiwa kugombea ,kwa katiba ipi ,acheni ujua mto hata kuvukwa bado mnakuja na optional za kipuuzi , lengo lenu ni lipi kwa lissu ? Acheni mambo ya kitotoSubiri uone !!
Tunataka kuona Sasa Mbowe akiendesha chama bila kuwa na akili kubwa kama atafika wapi?
Amebaki na watu wanaoamini katika siasa za rushwa na Hadaa.
Lisu atakaa pembeni na upande wake wenye watu wenye akili kubwa awaache Machawa . Tuone kama Mbowe na wajumbe wake wanaweza kuhamasisha hata maandamano ya mtaa mmoja kule Machame wakatoka.
Unakumbuka lissu kawa kilema mpaka leo hii anatembea na risasi wee unafikiri risasi 16 kwenye mwil wako ni jambo dogo pumbafuuu wwBila hata mshiko Mbowe kishashinda mi niwaulize swali rahisi hivi ni nani maarufu katika CHADEMA nani kaitumikia CHADEMA kwa nguvu zake zoteee ??
Mbowe kafilisiwa mali zake sababu ya CHADEMA mnakumbuka BILICANAS leo iko wapi ??? Mnakumbuka mashamba yake GREENHOUSE kule HAI WALIVYOYAVYEKA ??? sasa leo eti mnataka kusema kuwa Lissu ndo ana uchungu saana kuliko Mboweeee ???!!! Jamani acheni unafki !
Wewe ni lissu? nawambieni vita haikimbiwi , nasema tena ni mjinga tu wa kushauri eti lissu akimbie , kwani nyie kwa nini amini kwamba Mbowe hakutakiwa kugombea ,kwa katiba ipi ,acheni ujua mto hata kuvukwa bado mnakuja na optional za kipuuzi , lengo lenu ni lipi kwa lissu ? Acheni mambo ya kitoto
Ni haki yake ,na hii ya kusema chama chake kinaenda kuzama ,kwani yeye ichi chama ni chake au cha wanachama?Matamshi ya Mbowe ni ya Qxenge.
Kuwa eti ameona chama chake kinaenda kuzama ndio maana ameingia mzigoni . Sasa hapo wewe unaona ni sawa mtu aliyekaa madarakani miaka 21 na amekua aliwatoa wenzake kwa mtindo huo huo wa ama kuwatendea kama Chacha au kuwaambia ni wasaliti na kuwajengea uadui kwa wanachama.
Sasa Lisu ameitwa msaliti anayezamisha chama sasa anasubiri nini kwenye hicho chama wakati hata kampeni hazijaanza ametwa mtu msaliti mwisho utakua nini wakati kundi kubwa la mafisadi ndani ya Chadema na CCM wamemwaga pesa kila mahali kuandaa watu wa kumfanyia fujo na kumhujumu Lisu.
Bora aachane na ghiliba za Mbowe ili ajenge chama chake vizuri kwa kuwaacha wanaozalisha chama
Fisadi hanaga kuheshimiwaAcha mwamba atuvushe, tatizo Lissu aliingia kishari sana na kuanza kumtupia lawama Mwenyekiti bila heshima.
Wajinga wenye njaa mpo wengi. Hangaika na njaa Yako na kufa na njaa yakoHata ungekuwa wewe ndio mpiga kura utakataa mshiko Ili chadema kama chama kikusaidie nini!
Lisu akubali uchaguzi ushaisha Mbowe ni mwenyekiti tena na Wenje makamu Mwenyekiti
CCM ni dude Fulani kubwa sana huwezi kulishinda ππ
Hongera sana kampeni meneja wa Mbowe Lucas Mwashambwa