https://www.facebook.com/Wakuu,
Tuache kujidanganya kuwa kuchagua viongozi ambao sio wanaotokana na chama chenye kuunda serikali ni kupoteza muda.
Hivi hawa wa vyama mbadala wanayo miundo mbinu ipi ya kuzidi chama kilichoko madarakani?
Nawaombeni watanzania wote wenye akili timamu kuendelea kutoa support kwa chama chetu cha CCM kwa uchaguzi huu serikali za mitaa ili hawa jamaa zetu waendelee kujifunza toka kwetu.
Kazi iendelee
Huyo ni mdada toka uchagani alitolewa usichana wake na Mbowe kisha Mbowe akampiga kibuti.Kama we ni mwanaume umeandika huu uozo namuonea huruma mkeo anaongozwa na zuzu.
Athari za elimu ya MEMKWA hizi.Wakuu,
Tuache kujidanganya kuwa kuchagua viongozi ambao sio wanaotokana na chama chenye kuunda serikali ni kupoteza muda.
Hivi hawa wa vyama mbadala wanayo miundo mbinu ipi ya kuzidi chama kilichoko madarakani?
Nawaombeni watanzania wote wenye akili timamu kuendelea kutoa support kwa chama chetu cha CCM kwa uchaguzi huu serikali za mitaa ili hawa jamaa zetu waendelee kujifunza toka kwetu.
Kazi iendelee
Acha uongo sirikali mpya zinazoingia uongozini zinapata wapi pesa za kuendeshea mataifa yao,hsta endapo zimekwapuliwa na watawala waliopita au watakaopita huwa wanazitapika na zinaendesha nchi vizurii.Wakuu,
Tuache kujidanganya kuwa kuchagua viongozi ambao sio wanaotokana na chama chenye kuunda serikali ni kupoteza muda.
Hivi hawa wa vyama mbadala wanayo miundo mbinu ipi ya kuzidi chama kilichoko madarakani?
Nawaombeni watanzania wote wenye akili timamu kuendelea kutoa support kwa chama chetu cha CCM kwa uchaguzi huu serikali za mitaa ili hawa jamaa zetu waendelee kujifunza toka kwetu.
Kazi iendelee
OkShetani mwenye pembe! Fala mkubwa sana!