Pre GE2025 Wapiga kura, hakikisheni mnapiga kura kwa serikali iliyopo, viongozi mbadala hawana rasilimali za kutekeleza wanayoyaahidi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wakuu,

Tuache kujidanganya kuwa kuchagua viongozi ambao sio wanaotokana na chama chenye kuunda serikali ni kupoteza muda.

Hivi hawa wa vyama mbadala wanayo miundo mbinu ipi ya kuzidi chama kilichoko madarakani?

Nawaombeni watanzania wote wenye akili timamu kuendelea kutoa support kwa chama chetu cha CCM kwa uchaguzi huu serikali za mitaa ili hawa jamaa zetu waendelee kujifunza toka kwetu.

Kazi iendelee

View: https://web.facebook.com/reel/1107872713567503
 
Mkiwa mmeruhusiwa kutoka mirembe, msikimbilie kutoa hoja vihoja kwenye mitandao ya kijamii.

Hoja yako haina kichwa wala miguu. Hao waliopo ni kutoka sayari nyingine? Kama aliyesasa ameweza kuongoza. Hata tukimpa Godbless Lema, atafanya vizuri zaidi ya sasa. Hakuna mtu/watu wenye mkataba na hii nchi kuongoza milele. Time will tell...
 
Wakuu,

Tuache kujidanganya kuwa kuchagua viongozi ambao sio wanaotokana na chama chenye kuunda serikali ni kupoteza muda.

Hivi hawa wa vyama mbadala wanayo miundo mbinu ipi ya kuzidi chama kilichoko madarakani?

Nawaombeni watanzania wote wenye akili timamu kuendelea kutoa support kwa chama chetu cha CCM kwa uchaguzi huu serikali za mitaa ili hawa jamaa zetu waendelee kujifunza toka kwetu.

Kazi iendelee
Athari za elimu ya MEMKWA hizi.
 
Acha uongo sirikali mpya zinazoingia uongozini zinapata wapi pesa za kuendeshea mataifa yao,hsta endapo zimekwapuliwa na watawala waliopita au watakaopita huwa wanazitapika na zinaendesha nchi vizurii.
 
Back
Top Bottom