Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Wakuu,
Tuache kujidanganya kuwa kuchagua viongozi ambao sio wanaotokana na chama chenye kuunda serikali ni kupoteza muda.
Hivi hawa wa vyama mbadala wanayo miundo mbinu ipi ya kuzidi chama kilichoko madarakani?
Nawaombeni watanzania wote wenye akili timamu kuendelea kutoa support kwa chama chetu cha CCM kwa uchaguzi huu serikali za mitaa ili hawa jamaa zetu waendelee kujifunza toka kwetu.
Kazi iendelee
View: https://web.facebook.com/reel/1107872713567503