Wapiga kura milioni 30 wanategemewa kushiriki uchaguzi mkuu mwaka 2020

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,639
Tume ya uchaguzi NEC imesema inategemea ongezeko la wanaojiandikisha kupiga kura kutoka milioni 23 wa mwaka 2015 hadi milioni 30 mwaka 2020.

Msemaji wa NEC ameyasema hayo jijini Dodoma ambako zoezi la kuboresha daftari la wapiga kura linaendelea.

Source ITV habari.

Maendeleo hayana vyama!
 
Ongezeko la miaka mitano ni
>Watu 30m - Watu 23m = watu 7m,

Ongezeko la miaka mitano kwa asilimia
>Watu 7m ÷ Watu 23m ×100%= 30%

Ongezeko la kila mwaka
>30%÷5=6%

Gonga like kama na wewe ni mkali wa hesabu na umegundua kua wapiga kura wapya huongezeka kwa wastani wa asilimia 6 kila mwaka. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna wengine wamejiandikisha kupata vitambulisho tu,kupiga kura hawatapiga hao mil30.
 
Kama Nisisngekuwa na NIDA ningejiandikisha
 
Tume ya uchaguzi NEC imesema inategemea ongezeko la wanaojiandikisha kupiga kura kutoka milioni 23 wa mwaka 2015 hadi milioni 30 mwaka 2020.

Msemaji wa NEC ameyasema hayo jijini Dodoma ambako zoezi la kuboresha daftari la wapiga kura linaendelea.
Source ITV habari.
Maendeleo hayana vyama!
Hii ni habari njema, kuna msemo usemao "numbers don't lie", namba haziongopi, namba hazidanganyi!.

Data kama hizi ni muhimu sana kwa vyama serious vinavyojitambua vinataka nini.

Angalia niliwaeleza nini Chadema ile 2015

Sasa data za 2020 ndio hizi, vyama dhaifu na goigoi havifanyi lolote kuhusu data hizi, hakuna mipango yoyote ya mass mobilization, kutoa civic education, wanasubiri hadi kipenga cha uchaguzi kimepulizwa, then watu wanakodi helicopter kwenda kuwafikia wananchi. Ng'ombe hawezi kunenepeshwa siku ya mnada!.
P
 
Hakika mkuu!
 
Hivi wewe si ni mwandishi kabisa au wewe huwa haufatilii yanayoendelea kuhusu hujuma za serikali dhidi ya upinzani??? Sasa watanenepeshaje wakati hata sehemu ya malisho na mda wa kuchunga umezuiwa
 
Mkuu Masara, kwanza nakubaliana na wewe kuwa
hata sehemu ya malisho na mda wa kuchunga umezuiwa, lakini amini usiamini, ng'ombe wanaolishwa kwenye zero grazing wananenepa kuliko wale wanaopelekwa malishoni!.

Hivyo wafugaji wa ukweli, baada ya ile marufuku ya kulisha ng'ombe kwenye malisho, lakini zero grazing imeruhusiwa, ungekuta wanalisha na kunenepesha kwa zero grazing.

P
 
Hii ni habari njema, kuna msemo usemao "numbers don't lie", namba haziongopi, namba hazidanganyi!.

Data kama hizi ni muhimu sana kwa vyama serious vinavyojitambua vinataka nini.

Angalia niliwaeleza nini Chadema ile 2015

Sasa data za 2020 ndio hizi, vyama dhaifu na goigoi havifanyi lolote kuhusu data hizi, hakuna mipango yoyote ya mass mobilization, kutoa civic education, wanasubiri hadi kipenga cha uchaguzi kimepulizwa, then watu wanakodi helicopter kwenda kuwafikia wananchi. Ng'ombe hawezi kunenepeshwa siku ya mnada!.
P
Usisahau kuwakumbusha kuweka uhuru sawa katika uwanja wa siasa. Mbugani wanakochungia ng'ombe kunafugwa fisi na mtoni wanakonyweshea kumefugwa mamba. Hivyo ni lazima wanenepeshe ng'ombe siku ya mnada.
 
Nadhani wamesahau kuna kupita bila kupingwa, maana hiyo huwa tunashirikishwa 100% hivyo kufanya idadi ya wapiga kura inaweza kuongezeka.
 
That's why serikali huwa ignore hizi tafiti
tendaji. Mikoa yote 26 wananchi wanakubali utendaji wa rais Ila w
 
Hii ni habari njema, kuna msemo usemao "numbers don't lie", namba haziongopi, namba hazidanganyi!.

Data kama hizi ni muhimu sana kwa vyama serious vinavyojitambua vinataka nini.

Angalia niliwaeleza nini Chadema ile 2015

Sasa data za 2020 ndio hizi, vyama dhaifu na goigoi havifanyi lolote kuhusu data hizi, hakuna mipango yoyote ya mass mobilization, kutoa civic education, wanasubiri hadi kipenga cha uchaguzi kimepulizwa, then watu wanakodi helicopter kwenda kuwafikia wananchi. Ng'ombe hawezi kunenepeshwa siku ya mnada!.
P

Kwa huu uhayawani unaendelea kwenye chaguzi zetu toka awamu ya tano iingie madarakani, nitashangaa hivyo vyama kushiriki huo ushenzi. Tutakuwa mstari wa mbele kushawishi watu wasijitokeze kujiandikisha kupiga kura maana ni kupoteza muda, kwa tume hii ya uchaguzi inayotii matakwa ya rais. Sioni hata nusu ya hiyo idadi ikijitokeza kujiandikisha kupiga kura.
 
Tume ya uchaguzi NEC imesema inategemea ongezeko la wanaojiandikisha kupiga kura kutoka milioni 23 wa mwaka 2015 hadi milioni 30 mwaka 2020.

Msemaji wa NEC ameyasema hayo jijini Dodoma ambako zoezi la kuboresha daftari la wapiga kura linaendelea.

Source ITV habari.

Maendeleo hayana vyama!
Uashangaa hili dubwana la utawala litatuambia wameshiriki kwa asilimia 99 kenge wahed
 
Back
Top Bottom