johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Hii ni habari njema, kuna msemo usemao "numbers don't lie", namba haziongopi, namba hazidanganyi!.Tume ya uchaguzi NEC imesema inategemea ongezeko la wanaojiandikisha kupiga kura kutoka milioni 23 wa mwaka 2015 hadi milioni 30 mwaka 2020.
Msemaji wa NEC ameyasema hayo jijini Dodoma ambako zoezi la kuboresha daftari la wapiga kura linaendelea.
Source ITV habari.
Maendeleo hayana vyama!
Hakika mkuu!Hii ni habari njema, kuna msemo usemao "numbers don't lie", namba haziongopi, namba hazidanganyi!.
Data kama hizi ni muhimu sana kwa vyama serious vinavyojitambua vinataka nini.
Angalia niliwaeleza nini Chadema ile 2015
GE2015 - Kuelekea 2015: CHADEMA, Don't Miss the Target, Adui Mkubwa sio CCM Bali ni ...
Wanabodi, Kuna msemo usemao numbers don't lie, hili ni bandiko la numbers na data, kama sio mzuri wa mathematics na arithmetics nakushauri bandiko hili bora ulipitie mbali and save your time and money kwasababu time is money. Katika thread moja humu jukwaani, nimekutana na mchango wa mwana...www.jamiiforums.com
Sasa data za 2020 ndio hizi, vyama dhaifu na goigoi havifanyi lolote kuhusu data hizi, hakuna mipango yoyote ya mass mobilization, kutoa civic education, wanasubiri hadi kipenga cha uchaguzi kimepulizwa, then watu wanakodi helicopter kwenda kuwafikia wananchi. Ng'ombe hawezi kunenepeshwa siku ya mnada!.
P
Hivi wewe si ni mwandishi kabisa au wewe huwa haufatilii yanayoendelea kuhusu hujuma za serikali dhidi ya upinzani??? Sasa watanenepeshaje wakati hata sehemu ya malisho na mda wa kuchunga umezuiwaHii ni habari njema, kuna msemo usemao "numbers don't lie", namba haziongopi, namba hazidanganyi!.
Data kama hizi ni muhimu sana kwa vyama serious vinavyojitambua vinataka nini.
Angalia niliwaeleza nini Chadema ile 2015
GE2015 - Kuelekea 2015: CHADEMA, Don't Miss the Target, Adui Mkubwa sio CCM Bali ni ...
Wanabodi, Kuna msemo usemao numbers don't lie, hili ni bandiko la numbers na data, kama sio mzuri wa mathematics na arithmetics nakushauri bandiko hili bora ulipitie mbali and save your time and money kwasababu time is money. Katika thread moja humu jukwaani, nimekutana na mchango wa mwana...www.jamiiforums.com
Sasa data za 2020 ndio hizi, vyama dhaifu na goigoi havifanyi lolote kuhusu data hizi, hakuna mipango yoyote ya mass mobilization, kutoa civic education, wanasubiri hadi kipenga cha uchaguzi kimepulizwa, then watu wanakodi helicopter kwenda kuwafikia wananchi. Ng'ombe hawezi kunenepeshwa siku ya mnada!.
P
Mkuu Masara, kwanza nakubaliana na wewe kuwaHivi wewe si ni mwandishi kabisa au wewe huwa haufatilii yanayoendelea kuhusu hujuma za serikali dhidi ya upinzani??? Sasa watanenepeshaje wakati hata sehemu ya malisho na mda wa kuchunga umezuiwa
Usisahau kuwakumbusha kuweka uhuru sawa katika uwanja wa siasa. Mbugani wanakochungia ng'ombe kunafugwa fisi na mtoni wanakonyweshea kumefugwa mamba. Hivyo ni lazima wanenepeshe ng'ombe siku ya mnada.Hii ni habari njema, kuna msemo usemao "numbers don't lie", namba haziongopi, namba hazidanganyi!.
Data kama hizi ni muhimu sana kwa vyama serious vinavyojitambua vinataka nini.
Angalia niliwaeleza nini Chadema ile 2015
GE2015 - Kuelekea 2015: CHADEMA, Don't Miss the Target, Adui Mkubwa sio CCM Bali ni ...
Wanabodi, Kuna msemo usemao numbers don't lie, hili ni bandiko la numbers na data, kama sio mzuri wa mathematics na arithmetics nakushauri bandiko hili bora ulipitie mbali and save your time and money kwasababu time is money. Katika thread moja humu jukwaani, nimekutana na mchango wa mwana...www.jamiiforums.com
Sasa data za 2020 ndio hizi, vyama dhaifu na goigoi havifanyi lolote kuhusu data hizi, hakuna mipango yoyote ya mass mobilization, kutoa civic education, wanasubiri hadi kipenga cha uchaguzi kimepulizwa, then watu wanakodi helicopter kwenda kuwafikia wananchi. Ng'ombe hawezi kunenepeshwa siku ya mnada!.
P
Tume ya nini wakati tupo kwenye mfumo wa chama kimoja?VP kuhusu tume huru?
Hii ni habari njema, kuna msemo usemao "numbers don't lie", namba haziongopi, namba hazidanganyi!.
Data kama hizi ni muhimu sana kwa vyama serious vinavyojitambua vinataka nini.
Angalia niliwaeleza nini Chadema ile 2015
GE2015 - Kuelekea 2015: CHADEMA, Don't Miss the Target, Adui Mkubwa sio CCM Bali ni ...
Wanabodi, Kuna msemo usemao numbers don't lie, hili ni bandiko la numbers na data, kama sio mzuri wa mathematics na arithmetics nakushauri bandiko hili bora ulipitie mbali and save your time and money kwasababu time is money. Katika thread moja humu jukwaani, nimekutana na mchango wa mwana...www.jamiiforums.com
Sasa data za 2020 ndio hizi, vyama dhaifu na goigoi havifanyi lolote kuhusu data hizi, hakuna mipango yoyote ya mass mobilization, kutoa civic education, wanasubiri hadi kipenga cha uchaguzi kimepulizwa, then watu wanakodi helicopter kwenda kuwafikia wananchi. Ng'ombe hawezi kunenepeshwa siku ya mnada!.
P
Tume ya nini wakati tupo kwenye mfumo wa chama kimoja?
Uashangaa hili dubwana la utawala litatuambia wameshiriki kwa asilimia 99 kenge wahedTume ya uchaguzi NEC imesema inategemea ongezeko la wanaojiandikisha kupiga kura kutoka milioni 23 wa mwaka 2015 hadi milioni 30 mwaka 2020.