Upinzani hautakiwi Tanzania. Kazi kubwa iliyofanyika 2020 ni almost umekufa, mwaka 2025 tunaumalizia kabisa hatutaki kucheleweshwa maendeleo. Sasahivi ni kazi tu hakuna siasa, tukutane 2025 tumalizie kazi ndogo iliyobakia ya kuufuta upinzani, baada ya hapo ni maendeleo tu.
Hakuna upinzani acha maelezo ndugu. Uwe wa chama cha mtu binafsi au wananchi. Kwa ss hakuna upinzani umekufa. Hakuna mshindani kwa sasa.Jiulize kwanza wapinzani watanzania ni kina nani? Na ni nani asiyeutaka upinzani?
Tutakapojua kuwa na siasa za kweli tukajua kutofautisha chama kama kampuni na viongozi kama wamiliki wa kampuni hiyo tutajenga vyama pinzani imara na vyama vyenye nguvu ya umma na sio nguvu ya watu wachache wenye maslahi binafsi
Corona wazungu wanakimbilia Africa kukwepa lockdown huko kwao. Ngoja tuwafundishe kunywa malimao na kupiga nyunguWewe waache waendelee kukomaa na corona
Huu ugonjwa haueleweki. Sidhani kama ni matokeo ya nature. All in all sioni sababu ya kuiga wanachofanya wazungu wakati na wao hawana tiba na wanakufa kama ss.Corona wazungu wanakimbilia Africa kukwepa lockdown huko kwao. Ngoja tuwafundishe kunywa malimao na kupiga nyungu
Naambiwa Marekani pamoja na yote vifo ni Kati ya 2000 hadi 4000 kwa siku
Kwa hii corana bado Magufuli anabaki kuwa rais bora aliyegoma kuwaua watu wake kwa stress na njaa, na kuamua kutumia ustaarabu wa asili kupambana nayo
Sasa upinzani ulikuwapo? Wale waliokuwa wanamfuata Lisu waliokuwa misukule tu na ndio maana hakupata wabunge wengi zaidi ya mmoja.Majibu mbona unayo wakati wa ujio wa Lisu. Mliaminishwa kuwa upinzani umekufa. Uliuona muziki, kuwa kumbe watu wana kadi za uanachama wa UPINZANI mioyoni na mapenzi ya UPINZANI hasa CDM mioyoni mwao.
Mam D upo?
Pale watoto wanapojua serikali ya Chama tawala imewajengea shule, imewawekea miundimbinu na zana za kujifunzia, walimu na imeondoa ada ili kila mtoto apate elimu.
View attachment 1687242
Yajayo yanafurahisha😃😃😃
Hadi itakapofika huko unakosema, lakini kwa sasa tunataka maendeleo. Hivyo vyama vya upinzani vimetuchelewesha sana. Ngoja tupate maendeleo kwanza, watatukuta huko mbele na vyama vyao. Au nasema uongo ndugu yangu?Jiulize kwanza wapinzani watanzania ni kina nani? Na ni nani asiyeutaka upinzani?
Tutakapojua kuwa na siasa za kweli tukajua kutofautisha chama kama kampuni na viongozi kama wamiliki wa kampuni hiyo tutajenga vyama pinzani imara na vyama vyenye nguvu ya umma na sio nguvu ya watu wachache wenye maslahi binafsi
Muziki wa aslimia 13(%) ya kura zote zilizopigwa?Majibu mbona unayo wakati wa ujio wa Lisu. Mliaminishwa kuwa upinzani umekufa. Uliuona muziki, kuwa kumbe watu wana kadi za uanachama wa UPINZANI mioyoni na mapenzi ya UPINZANI hasa CDM mioyoni mwao.
Mam D upo?
Nendeni mkaimarishe na kujenga Chama. 2025 sio mbali mtaduwazwa wapoga kura wakifikia 18 millioniVijana waliozaliwa miaka ya 2,000 kwenda mbele hawajui sana mambo ya siasa, na hata wakipiga kura sio rahisi waipigie kura ccm kwani kwao ccm ni chama cha wazee. Na hiyo 2025 iwapo mwenendo wa uchaguzi utabaki kuwa huu huu sioni wapiga kura wakivuka 5m. Hakuna mtu yuko tayari kupoteza muda kwenda kupanga mstari kwenye mstari wa kura, huku rais kwa kushirikiana na vyombo vya dola na tume ya uchaguzi wakiwa na matokeo mkononi. Machafuko tu ndio yatabadilisha huu uhuni kwenye chaguzi zetu.
Nendeni mkaimarishe na kujenga Chama. 2025 sio mbali mtaduwazwa wapoga kura wakifikia 18 millioni
Endeleeni na nadharia zenu kama wapiga punyeto.
Ina maana akili zao zitakuwa zimeganda?Pale watoto wanapojua serikali ya Chama tawala imewajengea shule, imewawekea miundimbinu na zana za kujifunzia, walimu na imeondoa ada ili kila mtoto apate elimu.
View attachment 1687242
Yajayo yanafurahisha[emoji2][emoji2][emoji2]
Indoctrination ni process inaweza kufanywa wakati wowote ule wa binadamu, ila iwe kwa njia sawia ya wakati huo.Youth indoctrination kwenye dunia ya leo siyo rahisi. Hawa watoto wakipata simu na kuingia mtandaoni au kuangalia TV na kuona maisha ya vijana wenzao duniani lazima mawazo yao yatabadilika. Enzi za Nyerere iliwezekana kwa sababu wananchi wengi walikuwa hawana TV na internet haikuwepo bado.
Get serious; ni moto gani uliowashwa na Lisu?Majibu mbona unayo wakati wa ujio wa Lisu. Mliaminishwa kuwa upinzani umekufa. Uliuona muziki, kuwa kumbe watu wana kadi za uanachama wa UPINZANI mioyoni na mapenzi ya UPINZANI hasa CDM mioyoni mwao.
Mam D upo?
Nyinyi ni wezi tu wa kura mlio kubuhu kiasi cha kuhamishia teknolojia yenu ya kura hewa kwa dikteta mwenzenu wa Uganda!!Pale watoto wanapojua serikali ya Chama tawala imewajengea shule, imewawekea miundimbinu na zana za kujifunzia, walimu na imeondoa ada ili kila mtoto apate elimu.
View attachment 1687242
Yajayo yanafurahisha[emoji2][emoji2][emoji2]
Nikuulize swali moja. Kama nyie mlio wengi ni werevu wajinga wachache wanawanyimaje ushindi?Nyinyi ni wezi tu wa kura mlio kubuhu kiasi cha kuhamishia teknolojia yenu ya kura hewa kwa dikteta mwenzenu wa Uganda!!
Mtaji pekee mlio bakiwa nao ni ule wa wajinga wachache. Kama hamuamini, basi undeni Tume Huru ya uchaguzi halafu wale policcm waache kuwatisha wasimamizi kwa silaha za moto, muone mtakavyo angukia pua, saa mbili tu asubuhi!
Kiama chenu kinakuja. Hakuna lenye mwanzo likakosa kuwa na mwisho. Time will tell. Just wait and see!Nikuulize swali moja. Kama nyie mlio wengi ni werevu wajinga wachache wanawanyimaje ushindi?
Unajua hao police na watumishi wa tume ni raia halali wa Tanzania wanaotimiza majukumu yao?
Au ulitaka Tundu atangazwe mshindi kwa kura milioni2