Sikuwahi fikiri Siasa yaweza mfanya mtu kuwa Sangoma!!Jiulize kwanza wapinzani watanzania ni kina nani? Na ni nani asiyeutaka upinzani?
Tutakapojua kuwa na siasa za kweli tukajua kutofautisha chama kama kampuni na viongozi kama wamiliki wa kampuni hiyo tutajenga vyama pinzani imara na vyama vyenye nguvu ya umma na sio nguvu ya watu wachache wenye maslahi binafsi