Wapiga kura wa 2025 na kuendelea hawa hapa, wapinzani msije kusema mmeibiwa kura

Hayo mazingira yanaonekana kama ya karne ya kumi na tisa.

Nadhani hao watoto wakikua watakuwa na hasira kali dhidi ya waliowafanya kuishi kiujima namna hiyo kwenye karne ya ishirini na moja.
 
Sikuwahi fikiri Siasa yaweza mfanya mtu kuwa Sangoma!!
 
..ccm iwatimizie hao watoto ndoto zao.

..kinyume chake ccm inaweza kubeba mzigo mkubwa wa lawama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…