KaNyEeAsT
JF-Expert Member
- Nov 26, 2021
- 343
- 719
Embu achenii zenu humu hamna hata mmoja anayetimiza yote ambayo mwenyezi mungu anayataka katika imani zenu hivyo hakuna mtu aliye jihakikishia kwamba ataiona mbingu kwa imani yake hivyoo si vema kumkosoa mtu katika imani yake sababu wewe pia unamapungufu mengi katika imani yako humu wengi ni vijana ipo changamoto kubwa kwetu kabla hujamkosoa mo salah kwa kile alicho kipost je wewe ni mangapi unayafanyaa na yapo kinyume na mungu na hujafanikiwa kuonekana katika macho ya wanadamu usijione mwema kwa mwenzako angalia yako umayafuata jinsi inavyo takiwaaa