Wapiga picha wa Azam Media wana elimu Gani? Au wanafanya kusudi

Wapiga picha wa Azam Media wana elimu Gani? Au wanafanya kusudi

Embu achenii zenu humu hamna hata mmoja anayetimiza yote ambayo mwenyezi mungu anayataka katika imani zenu hivyo hakuna mtu aliye jihakikishia kwamba ataiona mbingu kwa imani yake hivyoo si vema kumkosoa mtu katika imani yake sababu wewe pia unamapungufu mengi katika imani yako humu wengi ni vijana ipo changamoto kubwa kwetu kabla hujamkosoa mo salah kwa kile alicho kipost je wewe ni mangapi unayafanyaa na yapo kinyume na mungu na hujafanikiwa kuonekana katika macho ya wanadamu usijione mwema kwa mwenzako angalia yako umayafuata jinsi inavyo takiwaaa
 
Kwetu waislam kila kitu ni ibaada, kwahyo anapoazimisha tarehe ya Mungu jua (25 dec) na kuisherekea anakuwa anafanya ibaada ya kinyume na Allah. Shirk
Unapoenda kuzini huwa hatukuonii jee nii ibada?????
 
Kwetu waislam kila kitu ni ibaada, kwahyo anapoazimisha tarehe ya Mungu jua (25 dec) na kuisherekea anakuwa anafanya ibaada ya kinyume na Allah. Shirk
Wewe kwa dini yako, huwezi/haitakiwi kuwatakia heri watu wa dini zingine?
 
Kwenye Quran Kuna Aya inayosema "hawatakuwa radhi mayahudi na manaswara hadi mfate mila zao" hiyo krismas ukiacha kupingana kwa wakristo wenyewe juu ya uhalali wake kidini bado sio mila ya waislam.
Wewe kama muislam, huwezi kuwatakia heri watu wa dini zingine pindi wanapoadhimisha sikukuu zao?
 
Kuwa na mapungufu ya imani haihalalishi mpira kuanza kuingizwa maudhui ya udini
Embu achenii zenu humu hamna hata mmoja anayetimiza yote ambayo mwenyezi mungu anayataka katika imani zenu hivyo hakuna mtu aliye jihakikishia kwamba ataiona mbingu kwa imani yake hivyoo si vema kumkosoa mtu katika imani yake sababu wewe pia unamapungufu mengi katika imani yako humu wengi ni vijana ipo changamoto kubwa kwetu kabla hujamkosoa mo salah kwa kile alicho kipost je wewe ni mangapi unayafanyaa na yapo kinyume na mungu na hujafanikiwa kuonekana katika macho ya wanadamu usijione mwema kwa mwenzako angalia yako umayafuata jinsi inavyo takiwaaa
 
Wakristo na waislam tunachotofautiana ni mapokeo na mafundisho ila Mungu tunayemuamini ni mmoja jambo la muhimu kila mtu anaheshimu imani ya wenzake sioni tatizo kwa azam media liko wapi ikiwa yeye mafundisho yake toka mtoto yupo madrasa haijui sikukukuu ya Christmas leo
Nchi hii tuna taka kuishi kinafiki mda wote ndio maana tuna lazimishana kufanya vitu ambavyo hata kama mtu anaona Kwake sio muhimu.
 
Nimefika egypt na South Africa ndani ya bara letu
Nimefatilia hizo ligi hazina maudhui ya udini km wazalishaji wa Azam
Tembea basi na vituo vya afya Au elimu vya private vinavyomilikiwa na wainjilisi…
 
Back
Top Bottom