Unapoenda kuzini huwa hatukuonii jee nii ibada?????Kwetu waislam kila kitu ni ibaada, kwahyo anapoazimisha tarehe ya Mungu jua (25 dec) na kuisherekea anakuwa anafanya ibaada ya kinyume na Allah. Shirk
Mkiniona nikemeeni.Unapoenda kuzini huwa hatukuonii jee nii ibada?????
Wewe kwa dini yako, huwezi/haitakiwi kuwatakia heri watu wa dini zingine?Kwetu waislam kila kitu ni ibaada, kwahyo anapoazimisha tarehe ya Mungu jua (25 dec) na kuisherekea anakuwa anafanya ibaada ya kinyume na Allah. Shirk
Hapana...wapi nimesema hivo?Wewe kwa dini yako, huwezi/haitakiwi kuwatakia heri watu wa dini zingine?
Wewe kama muislam, huwezi kuwatakia heri watu wa dini zingine pindi wanapoadhimisha sikukuu zao?Kwenye Quran Kuna Aya inayosema "hawatakuwa radhi mayahudi na manaswara hadi mfate mila zao" hiyo krismas ukiacha kupingana kwa wakristo wenyewe juu ya uhalali wake kidini bado sio mila ya waislam.
Ndio, kwasababu naamini hawako kwenye njia sahihi wapo kwenye upotofuWewe kama muislam, huwezi kuwatakia heri watu wa dini zingine pindi wanapoadhimisha sikukuu zao?
njoo Tazara pale ofisini kilasiku utapewa 100k ya kula kelele zako zitakwisha ni njaa tu inakusumbua.
Wataweza kumla Bata kweli?
Kwaio WORLD CUP KULE QATAR Cameraman hawakutakiwa kuonesha zile kanzi na vilemba vya waarabu we mpuuzi chuki ya dini itakuuwa k ww
HapanaWataweza kumla Bata kweli?
Embu achenii zenu humu hamna hata mmoja anayetimiza yote ambayo mwenyezi mungu anayataka katika imani zenu hivyo hakuna mtu aliye jihakikishia kwamba ataiona mbingu kwa imani yake hivyoo si vema kumkosoa mtu katika imani yake sababu wewe pia unamapungufu mengi katika imani yako humu wengi ni vijana ipo changamoto kubwa kwetu kabla hujamkosoa mo salah kwa kile alicho kipost je wewe ni mangapi unayafanyaa na yapo kinyume na mungu na hujafanikiwa kuonekana katika macho ya wanadamu usijione mwema kwa mwenzako angalia yako umayafuata jinsi inavyo takiwaaa
Wewe ndo wasemaUnaamanisha hao azam media hawagusiki?
Wewe ndo wasema
Nchi hii tuna taka kuishi kinafiki mda wote ndio maana tuna lazimishana kufanya vitu ambavyo hata kama mtu anaona Kwake sio muhimu.Wakristo na waislam tunachotofautiana ni mapokeo na mafundisho ila Mungu tunayemuamini ni mmoja jambo la muhimu kila mtu anaheshimu imani ya wenzake sioni tatizo kwa azam media liko wapi ikiwa yeye mafundisho yake toka mtoto yupo madrasa haijui sikukukuu ya Christmas leo
Tembea basi na vituo vya afya Au elimu vya private vinavyomilikiwa na wainjilisi…Nimefika egypt na South Africa ndani ya bara letu
Nimefatilia hizo ligi hazina maudhui ya udini km wazalishaji wa Azam