Mcqueenen
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 6,843
- 11,702
Ni public interest kivipi?Ligi kuu ya Tanzania ni public interest haijalishi mwenye haki kurusha ni kampuni binafsi au nani lazima afuate regulations la sivyo anakosa sifa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni public interest kivipi?Ligi kuu ya Tanzania ni public interest haijalishi mwenye haki kurusha ni kampuni binafsi au nani lazima afuate regulations la sivyo anakosa sifa
Mkuu unavaa nusu uchi na mapaja yako meusi then unataka uonekane Live Azam Tv ?
Vaeni vizuri bagarashia baibui Kama Mungu anavyotaka that all hakuna kingine
Kama kitu kwenye maisha sio kipaumbele, achana nacho
Mkuu maadili muhimuMpira ni public interest sio msikitini kwamba kila moja avae mavazi ya kiarabu
Km anayerusha mpira anaona mpira ni sehemu ya dini basi amekosa sifa
Unaoneka wewe mtu ni mdini sana maana hata kasoro zako unazotafuta zipo katika mambo ya dini dini
Wakristo na waislam tunachotofautiana ni mapokeo na mafundisho ila Mungu tunayemuamini ni mmoja jambo la muhimu kila mtu anaheshimu imani ya wenzake sioni tatizo kwa azam media liko wapi ikiwa yeye mafundisho yake toka mtoto yupo madrasa haijui sikukukuu ya Christmas leoWiki iliyopita nilisoma uzi wa mdau kuhusu Azam media kuepuka kutaja neno Christmas kwenye maudhui yao ya kutakia watanzania heri ya sikukuu za mwisho wa mwaka
Ni kweli sio bahati mbaya ni mipango yao kwa kuwa ni kampuni binafsi hata wakilalamika watochoka wataacha
Sasa nikajipa jukumu la kuchunguza engle fulani ya wapiga picha wa Azam media hasa wanaorusha mpira wa ligi kuu
Ndipo nikafikia swali kujiuliza hawa watu wanataaluma kweli au ndio wanafuata matakwa ya boss
Kitu cha kwanza nilichogundua ukiwa umevaa mavazi fulani yenye utamaduni wa imani fulani ndani ya dakika tisini wanaweza kumzoom huyo mtu hata mara kumi iwe mwanamke au mwanaume
Je hawa watangazaji huwa wanapewa maelekezo au ndio mahaba yao binafsi? Kwamba uwanjani kipaumbele ni watu fulani ndio wenye hadhi ya kuwa spotted na camera?
Km huamini jaribu kuvaa km waarabu nenda uwanjani utaona kila muda upo live kwa TV
Kitu kingine pale uwanja wa dodoma kuna nyumba ya ibada alijenga gadafi ile nyumba km kuna mechi pale uwa inafanyiwa coverage kuliko hata matukio ya uwanjani hivi azam haina mtu wa maudhui au ni mikakati yao
Upande wa pili kule singida kuna nyumba ya ibada ipo karibu na uwanja ile nyumba kwa juu ina msalaba kitu cha kushangaza warusha picha huonyesha mashabiki waliokaa kwenye milima wakionyesha mpira ila huwa wanakuwa makini sana ule msalaba usionekane
Kitu kingine wanaopangwa km watangazaji wa mchezo wanaopewa kipaumbele ni wale wanaosalimia kwa kwa salamu ya dini
TFF mtalaumiwa km hii ligi itaharibiwa na hawa watu
Mnaona ligi ya egypt ambayo ni km nchi ya kiislam hawana ubaguzi wa kidini hata kidogo
Mnaona ligi ya africa kusini ambayo ni km nchi ya kikrsto hawana ubaguzi wa kidini na ligi yao ni bora
Azam media ni km wana ajenda yao waambiwe tu hawatafanikiwa na wanaweza kupotea kabisa
Mpira ni buplic interest lazima kiwe na maslahi
Ndio maana hakuna anayehangaika na wanaochongea mashekh msikitini au napata makanisani
Wewe ndiye mwenye macho ya dini,maana mpaka Salam ya mpenja imekukera,pande zote za dini Zina wapuuzi Kama wewe..na mnaongezeka,ipo siku mtakua wengi na mtararuana makoromeo
Jukumu la msingi ni kuonesha mpira na matukio ndani ya pitch, kitu ambacho Azam amekuwa akikifanya hili ndio la muhimu...
Nafikiria acha tumia azamWiki iliyopita nilisoma uzi wa mdau kuhusu Azam media kuepuka kutaja neno Christmas kwenye maudhui yao ya kutakia watanzania heri ya sikukuu za mwisho wa mwaka
Ni kweli sio bahati mbaya ni mipango yao kwa kuwa ni kampuni binafsi hata wakilalamika watochoka wataacha
Sasa nikajipa jukumu la kuchunguza engle fulani ya wapiga picha wa Azam media hasa wanaorusha mpira wa ligi kuu
Ndipo nikafikia swali kujiuliza hawa watu wanataaluma kweli au ndio wanafuata matakwa ya boss
Kitu cha kwanza nilichogundua ukiwa umevaa mavazi fulani yenye utamaduni wa imani fulani ndani ya dakika tisini wanaweza kumzoom huyo mtu hata mara kumi iwe mwanamke au mwanaume
Je hawa watangazaji huwa wanapewa maelekezo au ndio mahaba yao binafsi? Kwamba uwanjani kipaumbele ni watu fulani ndio wenye hadhi ya kuwa spotted na camera?
Km huamini jaribu kuvaa km waarabu nenda uwanjani utaona kila muda upo live kwa TV
Kitu kingine pale uwanja wa dodoma kuna nyumba ya ibada alijenga gadafi ile nyumba km kuna mechi pale uwa inafanyiwa coverage kuliko hata matukio ya uwanjani hivi azam haina mtu wa maudhui au ni mikakati yao
Upande wa pili kule singida kuna nyumba ya ibada ipo karibu na uwanja ile nyumba kwa juu ina msalaba kitu cha kushangaza warusha picha huonyesha mashabiki waliokaa kwenye milima wakionyesha mpira ila huwa wanakuwa makini sana ule msalaba usionekane
Kitu kingine wanaopangwa km watangazaji wa mchezo wanaopewa kipaumbele ni wale wanaosalimia kwa kwa salamu ya dini
TFF mtalaumiwa km hii ligi itaharibiwa na hawa watu
Mnaona ligi ya egypt ambayo ni km nchi ya kiislam hawana ubaguzi wa kidini hata kidogo
Mnaona ligi ya africa kusini ambayo ni km nchi ya kikrsto hawana ubaguzi wa kidini na ligi yao ni bora
Azam media ni km wana ajenda yao waambiwe tu hawatafanikiwa na wanaweza kupotea kabisa
Wakristo na waislam tunachotofautiana ni mapokeo na mafundisho ila Mungu tunayemuamini ni mmoja jambo la muhimu kila mtu anaheshimu imani ya wenzake sioni tatizo kwa azam media liko wapi ikiwa yeye mafundisho yake toka mtoto yupo madrasa haijui sikukukuu ya Christmas leo
Nafikiria acha tumia azam
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dah!Chokonoeni tu chokochoko za kidini,mkianza kuchinjana msiitane kwenye meza ya maridhiano,yaani dk 90 sisi tunaona mpira wewe unaona kanzu,baibui na misikiti!?
Azam huonesha watu waliovaa kanzu na baibui tu uwanjani!?..pale kirumba ile mall pembeni huwa haioneshwi!?..ziwa haioneshwi!!..miji kwa ujumla huwa haioneshwi!?..tabora,kigoma miji haikuoneshwa msimu uliopita kombe la shirikisho!?..Dodoma bunge huwa haioneshwi!?..ulichokiona wewe watu wenye kanzu na baibui na maikiti wa Gaddafi!?..acha ujingaMpira ni public interest hautakiwi kuwa na maudhui ya kidini
Azam media hakusajiliwa km media ya dini inapoleta maudhui ya kidini inakosa sifa
Azam huonesha watu waliovaa kanzu na baibui tu uwanjani!?..pale kirumba ile mall pembeni huwa haioneshwi!?..ziwa haioneshwi!!..miji kwa ujumla huwa haioneshwi!?..tabora,kigoma miji haikuoneshwa msimu uliopita kombe la shirikisho!?..Dodoma bunge huwa haioneshwi!?..ulichokiona wewe watu wenye kanzu na baibui na maikiti wa Gaddafi!?..acha ujinga
Hebu weka clip tuone wanavoonesha watu waliovaa kanzu tu na misikitiNdio huwa wanaonyesha misikiti na watu waliovaa maudhui ya kiarabu ndani ya uwanja
Je mpira ni watu wa dini fulani tu?
Zima TV katafte shughuli nyengine, kama pesa unazo nunua ww haki za kurusha matagazo