Wapiga picha wa Azam Media wana elimu Gani? Au wanafanya kusudi

Mpira ni public interest sio msikitini kwamba kila moja avae mavazi ya kiarabu

Km anayerusha mpira anaona mpira ni sehemu ya dini basi amekosa sifa
Mkuu unavaa nusu uchi na mapaja yako meusi then unataka uonekane Live Azam Tv ?

Vaeni vizuri bagarashia baibui Kama Mungu anavyotaka that all hakuna kingine
 
Wakristo na waislam tunachotofautiana ni mapokeo na mafundisho ila Mungu tunayemuamini ni mmoja jambo la muhimu kila mtu anaheshimu imani ya wenzake sioni tatizo kwa azam media liko wapi ikiwa yeye mafundisho yake toka mtoto yupo madrasa haijui sikukukuu ya Christmas leo
 
Mpira ni buplic interest lazima kiwe na maslahi
Ndio maana hakuna anayehangaika na wanaochongea mashekh msikitini au napata makanisani

Jukumu la msingi ni kuonesha mpira na matukio ndani ya pitch, kitu ambacho Azam amekuwa akikifanya hili ndio la muhimu...
 
Mpira ni public interest hautakiwi kuwa na maudhui ya kidini
Azam media hakusajiliwa km media ya dini inapoleta maudhui ya kidini inakosa sifa
Wewe ndiye mwenye macho ya dini,maana mpaka Salam ya mpenja imekukera,pande zote za dini Zina wapuuzi Kama wewe..na mnaongezeka,ipo siku mtakua wengi na mtararuana makoromeo
 
Nafikiria acha tumia azam
 
Km azam media hatambui dini zingine anakosa sifa za kuwa chombo cha habari kwasababu haikusajiliwa km chombo cha dini

Mpira hauna itikadi ya dini,anapoingiza udini tayari anakosa sifa na media itapotezwa
 
Chokonoeni tu chokochoko za kidini,mkianza kuchinjana msiitane kwenye meza ya maridhiano,yaani dk 90 sisi tunaona mpira wewe unaona kanzu,baibui na misikiti!?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dah!
 
Mpira ni public interest hautakiwi kuwa na maudhui ya kidini
Azam media hakusajiliwa km media ya dini inapoleta maudhui ya kidini inakosa sifa
Azam huonesha watu waliovaa kanzu na baibui tu uwanjani!?..pale kirumba ile mall pembeni huwa haioneshwi!?..ziwa haioneshwi!!..miji kwa ujumla huwa haioneshwi!?..tabora,kigoma miji haikuoneshwa msimu uliopita kombe la shirikisho!?..Dodoma bunge huwa haioneshwi!?..ulichokiona wewe watu wenye kanzu na baibui na maikiti wa Gaddafi!?..acha ujinga
 
Zima TV katafte shughuli nyengine, kama pesa unazo nunua ww haki za kurusha matagazo
 
Ila ni kweli, kuna namna flani hawa majamaa wanakuwaga na maudhui yenye mrengo fulani wa Kidini , Ukianza kuangalia kwanzia wafanyakazi wao Walio wengi, Salamu zao , Tamithilia zao na maudhui yake, Yaani japo mimi nawapenda sana kweli lakini kuna namna huwa nashindwa kuwaelewa.

Tatizo na sisi huwa kuna vitu tunaogopa kuvi Address na tunavichukulia poa, Mwisho wake tutakuja kukumbuka shuka Tayari kumekucha
 
Ndio huwa wanaonyesha misikiti na watu waliovaa maudhui ya kiarabu ndani ya uwanja

Je mpira ni watu wa dini fulani tu?
 
Mmeanza kuwa walalamikaji siku hizi, wenzenu wakiwasema huwa mnawaita wadini na nyie muitwe wadini.

Tafuta TV nyengine utazame wasikuumize moyo.
 
Hilo sio jibu la mwerevu ilo ni jibu la mjinga

Zipo kampuni nyingi zinaweza kurusha mpira wa Tanzania ila hawa walipewa kipaumbele kwasababu walionekana eti ni watanzania hawakushindanishwa

Km kampuni inamrengo wa dini inakosa sifa ya kuonyesha mpira ambao ni public interest
Zima TV katafte shughuli nyengine, kama pesa unazo nunua ww haki za kurusha matagazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…