uwe hodari
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 4,045
- 8,608
- Thread starter
-
- #61
Uzuri ni kwamba hizo mechi za ligi hutazami peke yako mkuu...
Sisi wengine huwa tunaona shabiki kabeba kapu la magoli,wanapeta Mchele,ishara ya kuchinja,kucheza(Azam&Simba),watoto,Sasa wewe tuoneshe picha Azam wakionesha msikiti wakati mpira unachezwaHuo ni mjadala wa kitoto unauleta ukweli upo wazi
Ninachokisema kinajulikana kwa kila anayefuatilia mpira
Mbegu ya udini kupandwa na media ni jaribio zito kwa usalama wa nchi
Sisi wengine huwa tunaona shabiki kabeba kapu la magoli,wanapeta Mchele,ishara ya kuchinja,kucheza(Azam&Simba),watoto,Sasa wewe tuoneshe picha Azam wakionesha msikiti wakati mpira unachezwa
Unaugua udini,hapo Salam ya baraka mpenja 'assalaam alaykum daresalaam' huwa inakuuma Sana,itakua huwa unamtukana maana si muislamUkweli haufichiki mkuu ni swalw la muda
Kwamba uwanjani watu wenye mrengo flan wa dini ndio wanatambulika zaidi wakirudiwa kuwa spotted mara kwa mara
Mpira ni public interest in the mean time atakayegundua ni mwarabu ajenda zake zitafika kikomo
Unaugua udini,hapo Salam ya baraka mpenja 'assalaam alaykum daresalaam' huwa inakuuma Sana,itakua huwa unamtukana maana si muislam
Hisia za kidini zinakumiza nafsi pole sana. achana na Azam tafuta king'amuzi kingine ile ni kampuni binafsi na kwa haya malalamiko yako Azam awajavunja sheria ya nchi kwa kupiga picha usizozipenda.
uamuzi ni wako.Azam kwa bidhaa bora.
mkuu unachuki za kidini ilo ndo kubwa ulilonalo mengine ni visingizio tu.maisha yanaweza kwenda pia hata usipoangalia mpira kwenye tv ya Azam inayokuumiza moyo wako.Sina tatizo na hiyo kampuni ila wameshinda tenda ya kuonyesha mpira wa Tanzania mpira ni public interest mpira hauna dini
Hilo lazima aelewe hata km hapendi watu wa dini nyingine lasivyo they won't survive
170k pamoja na dishi kwa huku nilipo.King'amuzi Cha Azam hivi ni shili give ngapi?!?
mkuu unachuki za kidini ilo ndo kubwa ulilonalo mengine ni visingizio tu.maisha yanaweza kwenda pia hata usipoangalia mpira kwenye tv ya Azam inayokuumiza moyo wako.
Watu mnapata wapi muda aisee wa kuchunguza petty issues?
Watu mna muda wa kutosha aisee.
Hilo suala la ubaguzi wanalo saaana, anayebisha ana interest binafsi katika ubaguzi huo.
Siwaombei mabaya maana Injili imetufundisha upendo ila ukweli ni kuwa huwa napata wakati mgumu kusikitika nikisikia wafanyakazi wao wamepata ajali.
Ubaguzi ni jambo baya sana. Mpaka uwe mhanga ndiyo utajua maumivu yake.
Inawezekana...ila hizi hoja za elements za udini Hawa Azam wasipuuze kwani zimeanza siku nyingi...au inawezekana wanapakaziwa tu?!?! Labda baadhi wanaionea wivu Azam?!?!170k pamoja na dishi kwa huku nilipo.
wai ving'amuzi vya Azam vinanunuliwa kwa kasi sana na watu wa kada zote kawasababu Azam wanaaminika East,South & central Africa kwa kuwa na bidhaa bora kabisa.
Azam kwa bidhaa bora.🙏