Foxhound
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 28,710
- 76,243
kama wewe kidume unapiga, puchu, master b, punyeto, pully, unajisugua, unajichua, na staili nyingne zote za dizain iyo...
basi tambua kwamba hauna tofauti na mwanamke anayetoa mimba
ebu vuta picha ni watoto wangapi wamekatishiwa maisha yao kwa kuishia kwenye sakafu au kwenye sink la toilet,
kwa mpiga puchu aliyebobe na kazi yake anausanifu wote wa kazi kwa makadilio ya haraka haraka ameua vitoto kama elfu tano ivi na u.she.nzi....
hizi taarifa naomba zimfikie mwenyekit, katibu na washirika wote wa chama CHAPUTA, wajue tu kwamba wana generation kubwa sana iliyoangamia kwa kutumia viganja vyao vya mikono
nawasilisha;
Nenda kashtaki RITA kama hawaandikishi watu vyeti kutokana na sisi wapiga punyeto.
Kutoka: M/Kiti CHAPUTA
Cc: Katibu Mkuu
Wajumbe wa kamati ya maadili
Wajumbe wa baraza la usaili
Wajumbe wa kamati kuu
Wajumbe wote
Sent using Jamii Forums mobile app