Wapiga punyeto ni wauaji wa vizazi na vizazi

Wapiga punyeto ni wauaji wa vizazi na vizazi

kama wewe kidume unapiga, puchu, master b, punyeto, pully, unajisugua, unajichua, na staili nyingne zote za dizain iyo...
basi tambua kwamba hauna tofauti na mwanamke anayetoa mimba
ebu vuta picha ni watoto wangapi wamekatishiwa maisha yao kwa kuishia kwenye sakafu au kwenye sink la toilet,
kwa mpiga puchu aliyebobe na kazi yake anausanifu wote wa kazi kwa makadilio ya haraka haraka ameua vitoto kama elfu tano ivi na u.she.nzi....
hizi taarifa naomba zimfikie mwenyekit, katibu na washirika wote wa chama CHAPUTA, wajue tu kwamba wana generation kubwa sana iliyoangamia kwa kutumia viganja vyao vya mikono

nawasilisha;

Nenda kashtaki RITA kama hawaandikishi watu vyeti kutokana na sisi wapiga punyeto.
Kutoka: M/Kiti CHAPUTA
Cc: Katibu Mkuu
Wajumbe wa kamati ya maadili
Wajumbe wa baraza la usaili
Wajumbe wa kamati kuu
Wajumbe wote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu biology yako itakua na shida kidogo......single ejaculation ina sperm more than 20 mil lakini moja tu ndio inafertelize egg...ww ulshawahi kumuona mtu asiyepiga punyeto kazaa watoto mil 20...basi kila mtu atakua muuaji maana kati ya sperm mil 20 inatumika moja na zilizobaki zinakufa...
hivyo basi na wewe ni muuaji kama wapiga punyeto tu
Tena sometime hata hyo moja inafeli inabid muongeze juhudi ya kudinyana.

Philips X2560
 
kama wewe kidume unapiga, puchu, master b, punyeto, pully, unajisugua, unajichua, na staili nyingne zote za dizain iyo...
basi tambua kwamba hauna tofauti na mwanamke anayetoa mimba
ebu vuta picha ni watoto wangapi wamekatishiwa maisha yao kwa kuishia kwenye sakafu au kwenye sink la toilet,
kwa mpiga puchu aliyebobe na kazi yake anausanifu wote wa kazi kwa makadilio ya haraka haraka ameua vitoto kama elfu tano ivi na u.she.nzi....
hizi taarifa naomba zimfikie mwenyekit, katibu na washirika wote wa chama CHAPUTA, wajue tu kwamba wana generation kubwa sana iliyoangamia kwa kutumia viganja vyao vya mikono

nawasilisha;
Acha ufala mkuu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mayai 5000 na ushenzi kwani yote yangeenda kutunga mimba si moja tu? Kwanini unataka kukuza kesi?

Nina tofauti gani na anayetumia kondomu?

Nina tofauti gani na anayemwaga nje?

Nina tofauti gani na anayepata ndoto nyevu kila siku?

Umetuona sisi tu?

By;
Msemaji wa CHAPUTA
Kweli umechafukwa
 
Back
Top Bottom