Wapiga punyeto wanajinadi, wanajilaumu, wamechoka kujichua. Ukweli kuhusu punyeto ni upi?

Wapiga punyeto wanajinadi, wanajilaumu, wamechoka kujichua. Ukweli kuhusu punyeto ni upi?

Faida
Nyeto - Inapunguza upotevu wa hela
Nyeto - inapunguza mimba zisizohitajika
Nyeto - Inapunguza matamanio ya mara kwa mara

Hasara
Nyeto - inalegeza mishipa
Nyeto - inaumiza kisaikolojia
Nyeto - inapunguza kujiamini wakati wa kutongoza
Nyeto - inafanya uume kusinyaa sinyaa wakati wa tendo la ndoa
Nyeto - ina uraibu ka sigara/pombe/uzinzi etc
Nyeto - ni ugonjwa wa kisaikolojia (sijawahio ona mnyama ng'ombe/mbuzi/sungura etc akifanya nyetoo)
Na kwanini ujifananishe na wanyama mkuu
 
Hii kitu imenisaidia sana

Hata nikiwa nakula manzi nina uwezo wa kuzuia kutoa wazungu mpaka pale ninapotaka,pia goli la kwanza ninaweza kuamua kuunganisha na la pili

Kupitia nyeto nilijifunza kupoteza mawazo,yaan ninaweza kufikiria safar ya dar to mwanza na vituo vyake nikiwa napeleka moto mpaka kibamia kinapata ngazi hapo hakimwagi mpaka nitake,demu anaweza kimbia
 
Aisee moja ya vitu ambavyo sitaki hata kuvisikia pamoja na punyeto kiufup najilamu sana imesababisha matatizo makubwa katika maisha yangu ambayo naangaikanayo mpaka sasa mi nimefanikia kuacha sitaki hata kuisikia punyeto. Vijana oeni acheni punyeto
 
Six years uboyzn, 4 yrz chuo, in marriage na watoto kadhaa ila hii kitu haijawai kuniangusha zaidi ya kunipunguzia gharama unnecessary na usumbufu.
masturbation will take you nowhere brother, kuwa mkweli siyo kwamba imekuepushia usumbufu, wewe ni domo zege, na bado ni domo zege, then uko isolative thus y unapata na masturbation airtime.

Accelerate yourself out of this mess bro its damage your soul very slowly to an extent that you can't recognize shauri yako.
 
Punyeto watu wanapiga ila Sasa,wanaozidisha halafu unakuta Hana girl friend Hali akashiba yeye ni nyeto tu hapo lazima apate athari hasa kisaikolojia
Ni sawa na mtu anayekunywa mapombe Kila siku atachoka tu
punheto haijawah kuwa faida no matter what circumstances.
 
Kama katika sex suala ni kuleta ile friction ambayo finally inasababisha ejaculation, inawezaje kuwa na madhara kwenye punyeto kama utatumia the same mechanism?

nadhani hapa wengi huwa tunaizungumzia punyeto in general term lakini sio namna mbalimbali za kufanya ambazo zinaweza kukuepusha na madhara(kama yapo).

hivyo wakati tukizungumzia punyeto huku kukiwa na pande zenye maoni tofauti kuihusu kwamba ina madhara au haina/ wamepata au hawajapata madhara, mara zote huwa haizungumzwi wanafanyaje mpaka kufika hali hizo ila basically wanafanya punyeto ambayo inaweza kuwa na namna nyingi ya kufanya na katika hizo ziwe zenye madhara na ambazo hazina.
mkuu psychological consequences ndo mbaya zaidi kuliko chochote, wapiga punyeto akili zao zinafanana na watu wa dizaini hii ukiwaangalia utasema ni wapole ila kiundani fikra zao zimejaa uoga yaan ni waoga hata kuchangia mijadala.
 
Oya jomba temana na mada za punyeto,manake Sasa zimejaa leta hatA za kilimo
Punyeto ni kitu Cha kawaida sana wauza mamizizi na vichaa ndio wanaiongelea vibaya
sina cheti cha SUA mkuu
 
Masturbation ni hand shaking with the real devil [emoji48], huwezi acha daima mpaka uzaliwe upya close your eyes.
hakuna atakaekuelewa brother lakini huo ndo ukweli
 
Aisee moja ya vitu ambavyo sitaki hata kuvisikia pamoja na punyeto kiufup najilamu sana imesababisha matatizo makubwa katika maisha yangu ambayo naangaikanayo mpaka sasa mi nimefanikia kuacha sitaki hata kuisikia punyeto. Vijana oeni acheni punyeto
Asante kwa ushuhuda mkuu
 
kama kichwa cha habari kinavyojieleza.

Ni utafiti ambao, umefanywa na unaendelea kufanywa na watu, ambao ni wahanga wa hiki kitendo(hili janga) ambao either ni wapenzi wa huu mchezo, ambao wamechoshwa na hiki kitendo au wale ambao wanatamani kuacha lakini wameshindwa kabisa kuacha.

Makala hii itaeleza visa mbalimbali, ambavyo ni matukio ya kweli ya wahusika waliokumbwa na changamoto hii au tuiite starehe hii kwa wale wanoiabudu.

Mrejesho wa utafiti unaanza na mimi mwenyewe ambae nimeshawahi kuandika makala mabalimbali zinahusu kujichua (punyeto), nilieleza changamoto nilizokutana nazo kipindi napambana kuachana na hiki kitendo, na changamoto hizo zilinipa nafasi ya kujua mambo kadhaa kuhusiana na punyeto.

1. Ugumu kwenye kujiepusha na matamanio ya kimwili
Kwa wapiga punyeto na wote ambao wamefikia ule umri wa kubalehe wanaelewa hii kitu, kuna muda unashindwa kujizuia kabisa tena kama upo stagnant hivi hufanyi kazi yoyote, yaani vile akili na mwili vinakuwa free, unakula na kushiba (hapa wengi wao ni wanafunzi) na wale ambao hawafanyi kazi ngumu, hawana wapenzi au wanao ila ni madomo zege, hapa hawawezi kutoboa.

Simply ni kwasababu satisfaction ya masturbation hahiitaji mambo mengi, its just your time, your will na sexual desire inafinalize. Hii changamoto unahitaji maombi kama kweli unataka kutoka, na sio maombi tu yaani wewe mwenyewe uwe willing kuacha.

2. Maandiko kuhusu punyeto
Ukifutilia wahanga wengi wa kujichua, wanajificha kwenye kivuli cha maandiko, sisemi kwamba hawapo sahihi, ila kama utashindana hoja za kiimani na mpenda punyeto atakueleza na kuchambua maandiko na utabaki huna hoja.

Ila ukimuuliza Mungu anaweza kubariki upigaji punyeto? Hawezi kukupa majibu. Ukirejea mada zangu ambazo nimewahi kuandika kuhusu punyeto, ukiangalia kwenye comment section utaona namna wapenda punyeto wanavyojitetea.

3. Scientific facts
Hapa kuna mkanganyiko kidogo. Kuna baadhi ya wataalam wa afya wanapinga ama kukilaani kitendo hiki kwasababu wanasema tafiti za kisayansi zimeonyesha upigaji punyeto unachangia kwa asilimia kubwa kwenye kupunguza nguvu za kiume kama kulegeza misuli ya uume, kuaffect sperm motility nk.

But at the same time, tafiti za kisayansi zinashauri upigaji punyeto kama njia sahihi ya kujiepusha na ugonjwa wa saratani ya tezi dume na ukwepaji wa magonjwa ya zinaa (unaona hapo kuna mkanganyiko).

4. Jamii
Hapa kuna mgawanyiko wa watu, kwasababu jamii ni watu, wapo ambao wanaona kitendo cha kujichua kinaathiri vijana kimaadili na kupelekea kusababisha mmomonyoko wa maadili kwasababu vijana, watu wazima au wazee wanajikita zaidi kwenye kutazama picha au video za ngono kitendo kinachopelekea uvunjifu wa maadili. Wakati huohuo kuna baadhi watu wanaona upingaji punyeto ni njia sahihi ya kujiepusha na magonjwa hatari kama UKIMWI na magonjwa mengine ya zinaa.

Conclusion
kipi ni kipi? Miongoni mwetu wapo wapiga punyeto na ambao hawapigi punyeto kama Mapadri, wanandoa, wanafunzi, Wachungaji, Masheikh na binadamu wote wenye elimu kuhusiana na hii makala. Tupeane elimu ili hii makala pia iwe sehemu ya utafiti, ili tujiokoe na hili janga, ama tuendelee kufanya, kwa njia gani, ama wanaoacha waache kwa njia gani, au tusiwalaumu wapiga punyeto ama tuwalaumu, wale waliochoka waache kwa njia zipi?

Binafsi mimi ni mpinga punyeto, narudia tena siyo typing error mimi ni mpinga punyeto kwahiyio mimi nashauri vijana, na wazee tuache punyeto.

karibuni tupeane mawazo[emoji120].
Labda uletwe ugonjwa wa nyeto ila la sivyo siachi boss hujui tu inavyo saidia mkuu
 
Achana ayo magazeti mzee kuna wale wadau walikua wanarahisisha kwa kuchora mikao ya sex,chooni na bafuni school mzee nilikua natumia hiyo michoro saana
Wee ndo mwamba huyu hapa
🙌🙌🙌😂😂😂😂😂
 
Ulokole tu umekujaa, kutisha tisha watu ayo majini labda kama unayo wewe ndo yakuzunguke,
Hapana mimi sio muumini wa dini yoyote. Ila mpiga
Ulokole tu umekujaa, kutisha tisha watu ayo majini labda kama unayo wewe ndo yakuzunguke,
Mimi sio mtu wa dini mkuu ila jua mfalme wa majini anaitwa asmodeus huyo jini kazi yake ndiyo hiyo. Hiyo ni Li Roho fulani linakufata
 
Back
Top Bottom