Mfuma Uzi! Kaa ukijua Kila kitu kikizidi kina madhara,Kuna watu wanasema sijui punyeto,pombe,bangi na starehe kama hivyo ni vibaya mno!!
Wanapiga marufuku public ila privacy ni wadau
Ukikaa na kuanzia kusema punyeto Ina madhara ama faida ni wewe tu ataye kuelewa atakuelewa
Hata hiyo punyeto asilimia 90 ya watu Wana Fanya na unakuta Wana familia,madaktari,viongozi wa kisiasa na dini nk..
Kuna mtu nilikua namheshimu sana ni mtu mzima mwenye sofa kubwa,nilienda washroom hakuwa kafunga mlango nikakuta anawasha mzigo!
Alishtuka ila nilimuambia Mzee usiwaze nikamfungia mlango