Wapiga punyeto wanajinadi, wanajilaumu, wamechoka kujichua. Ukweli kuhusu punyeto ni upi?

Wapiga punyeto wanajinadi, wanajilaumu, wamechoka kujichua. Ukweli kuhusu punyeto ni upi?

Punyeto watu wanapiga ila Sasa,wanaozidisha halafu unakuta Hana girl friend Hali akashiba yeye ni nyeto tu hapo lazima apate athari hasa kisaikolojia
Ni sawa na mtu anayekunywa mapombe Kila siku atachoka tu
""Hali akashiba....."" 🤓🤓🤓🙌🙌🙌
Nimecheka sana
Kwa siku anaenda mara 5 hv
 
Haapa
Kama katika sex suala ni kuleta ile friction ambayo finally inasababisha ejaculation, inawezaje kuwa na madhara kwenye punyeto kama utatumia the same mechanism?

nadhani hapa wengi huwa tunaizungumzia punyeto in general term lakini sio namna mbalimbali za kufanya ambazo zinaweza kukuepusha na madhara(kama yapo).

hivyo wakati tukizungumzia punyeto huku kukiwa na pande zenye maoni tofauti kuihusu kwamba ina madhara au haina/ wamepata au hawajapata madhara, mara zote huwa haizungumzwi wanafanyaje mpaka kufika hali hizo ila basically wanafanya punyeto ambayo inaweza kuwa na namna nyingi ya kufanya na katika hizo ziwe zenye madhara na ambazo hazina.

wewe ni muongo, wewe ni wa kupuuzwa, acha upotoshaji
Sawa mkuu nimekubali🤣
 
Kunyetuka kumesaidia sana
Kipindi tuko skull
 
Ni kweli hakuna mwanaume rijali hajapitia hii kitu ila ukifika tu mda wa kuacha unaacha tu, mfano halisi mimi niliacha tangu 2019 na niliamua tu kuwa saivi sipigi tena, japo nilianza kitambo sana kabla sijaoa na hata nilipooa niliendelea kunyetuka kwa miaka mingi tu

Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
Mkuu w4 bado zipo
 
Back
Top Bottom