Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu n hatar sana...Ila ukweli kuacha iyo kitu ni mziki labda uoe mbali na hapo sijui, au uwe bize sana.
Hilo li roho lina madhara yapi?Hapana mimi sio muumini wa dini yoyote. Ila mpiga
Mimi sio mtu wa dini mkuu ila jua mfalme wa majini anaitwa asmodeus huyo jini kazi yake ndiyo hiyo. Hiyo ni Li Roho fulani linakufata
Dah! Bro unawez yatoa angalau kwa kiufupi nyeto iliokusababishiaAisee moja ya vitu ambavyo sitaki hata kuvisikia pamoja na punyeto kiufup najilamu sana imesababisha matatizo makubwa katika maisha yangu ambayo naangaikanayo mpaka sasa mi nimefanikia kuacha sitaki hata kuisikia punyeto. Vijana oeni acheni punyeto
Nchi ngumu hiikama kichwa cha habari kinavyojieleza.
Ni utafiti ambao, umefanywa na unaendelea kufanywa na watu, ambao ni wahanga wa hiki kitendo(hili janga) ambao either ni wapenzi wa huu mchezo, ambao wamechoshwa na hiki kitendo au wale ambao wanatamani kuacha lakini wameshindwa kabisa kuacha.
Makala hii itaeleza visa mbalimbali, ambavyo ni matukio ya kweli ya wahusika waliokumbwa na changamoto hii au tuiite starehe hii kwa wale wanoiabudu.
Mrejesho wa utafiti unaanza na mimi mwenyewe ambae nimeshawahi kuandika makala mabalimbali zinahusu kujichua (punyeto), nilieleza changamoto nilizokutana nazo kipindi napambana kuachana na hiki kitendo, na changamoto hizo zilinipa nafasi ya kujua mambo kadhaa kuhusiana na punyeto.
1. Ugumu kwenye kujiepusha na matamanio ya kimwili
Kwa wapiga punyeto na wote ambao wamefikia ule umri wa kubalehe wanaelewa hii kitu, kuna muda unashindwa kujizuia kabisa tena kama upo stagnant hivi hufanyi kazi yoyote, yaani vile akili na mwili vinakuwa free, unakula na kushiba (hapa wengi wao ni wanafunzi) na wale ambao hawafanyi kazi ngumu, hawana wapenzi au wanao ila ni madomo zege, hapa hawawezi kutoboa.
Simply ni kwasababu satisfaction ya masturbation hahiitaji mambo mengi, its just your time, your will na sexual desire inafinalize. Hii changamoto unahitaji maombi kama kweli unataka kutoka, na sio maombi tu yaani wewe mwenyewe uwe willing kuacha.
2. Maandiko kuhusu punyeto
Ukifutilia wahanga wengi wa kujichua, wanajificha kwenye kivuli cha maandiko, sisemi kwamba hawapo sahihi, ila kama utashindana hoja za kiimani na mpenda punyeto atakueleza na kuchambua maandiko na utabaki huna hoja.
Ila ukimuuliza Mungu anaweza kubariki upigaji punyeto? Hawezi kukupa majibu. Ukirejea mada zangu ambazo nimewahi kuandika kuhusu punyeto, ukiangalia kwenye comment section utaona namna wapenda punyeto wanavyojitetea.
3. Scientific facts
Hapa kuna mkanganyiko kidogo. Kuna baadhi ya wataalam wa afya wanapinga ama kukilaani kitendo hiki kwasababu wanasema tafiti za kisayansi zimeonyesha upigaji punyeto unachangia kwa asilimia kubwa kwenye kupunguza nguvu za kiume kama kulegeza misuli ya uume, kuaffect sperm motility nk.
But at the same time, tafiti za kisayansi zinashauri upigaji punyeto kama njia sahihi ya kujiepusha na ugonjwa wa saratani ya tezi dume na ukwepaji wa magonjwa ya zinaa (unaona hapo kuna mkanganyiko).
4. Jamii
Hapa kuna mgawanyiko wa watu, kwasababu jamii ni watu, wapo ambao wanaona kitendo cha kujichua kinaathiri vijana kimaadili na kupelekea kusababisha mmomonyoko wa maadili kwasababu vijana, watu wazima au wazee wanajikita zaidi kwenye kutazama picha au video za ngono kitendo kinachopelekea uvunjifu wa maadili. Wakati huohuo kuna baadhi watu wanaona upingaji punyeto ni njia sahihi ya kujiepusha na magonjwa hatari kama UKIMWI na magonjwa mengine ya zinaa.
Conclusion
kipi ni kipi? Miongoni mwetu wapo wapiga punyeto na ambao hawapigi punyeto kama Mapadri, wanandoa, wanafunzi, Wachungaji, Masheikh na binadamu wote wenye elimu kuhusiana na hii makala. Tupeane elimu ili hii makala pia iwe sehemu ya utafiti, ili tujiokoe na hili janga, ama tuendelee kufanya, kwa njia gani, ama wanaoacha waache kwa njia gani, au tusiwalaumu wapiga punyeto ama tuwalaumu, wale waliochoka waache kwa njia zipi?
Binafsi mimi ni mpinga punyeto, narudia tena siyo typing error mimi ni mpinga punyeto kwahiyio mimi nashauri vijana, na wazee tuache punyeto.
karibuni tupeane mawazo[emoji120].
NAKAZIAHakuna utafiti wa moja kwa moja kwamba Puchu inaathiri afya kwa namna moja au nyingine. Nyingi ni nadharia tu, ambazo zinaweza kukutokea hata ukiwa kwenye ndoa na Mwanamke.
NAKAZIA TENAFaida ya Puchu kwanza inakuepusha na magonjwa, Yani magonjwa kama UTI, Fangasi, na magonjwa ya ngono ambayo ungeyapata wakati wa kujamiiana, basi ukitumia sabuni hakutakuwa na magonjwa hayo ila Sabuni itaenda mbali zaidi na kukusafishia Rungu kwa sababu sabuni ni kitakatishaji basi itaacha Rungu lako likiwa safi baada ya matumizi.
NAKAZIA ZAIDIFaida nyingine ya Puchu haikupi stress za kuachwa, kusalitiwa, Tuma na ya kutolea, sijui nipo kwenye siku zangu, na mimba zisizotarajiwa.
kumwaga kwa kujikanda mb<><>Puchu ni nini???
Daaaaaah, poleni.kumwaga kwa kujikanda mb<><>
nishapoaDaaaaaah, poleni.
2008 hiyo simu ilizagaa kitaani.Ilikua zamani mnoo aiseee
Hatari sanaCHAPUTA bado kinasajili makinda.
Utaskia ""oya wee leo nani..""
Anajibu ""mi leo nipo na minaj"""
🤓🤓🤓🤓
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂au hata nyimbo mtu anabambiwa
Aliyecheka cheka kipumbaf ndiye aliteharibu mkanda kuanzia kwa mpigaji hadi na sisi watazamaji!CHAPUTA bado kinasajili makinda.