Ni tukio lilitokea zamani ila lilinitia aibu sana, nilienda kufanya mitihani ya kujiunga na shule ya kidato cha tano mkoa X.
Mjomba ndie alienisindikiza, tulifikia lodge na kukodi chumba cha vutanda viwili.
Niliingia bafuni nikakuta maji yamoto, muda huo mjomba alikuwa ametoka yupo nje na rafiki yake waliekutana mji huo.
Maji ya mvua yamoto na utelezi wa sabuni nikiipitisha kunako kama utani vile nikaanza kidogo kidogo mpaka nikaamua liwalo na liwe,
Nikachukua mafuta ya mgando nikarudi bafuni kukwea mnazi,
Raha ilioje najihisi peponi maji yamoto yakiwa yanatiririka, Ghafla nasikia mlango wa bafuni umefunguliwa, macho kwa macho natizamana na mjomba, Nilidata !! mzigo ulisinyaa haraka sijawai kuona, Mjomba alitikisa kichwa huku akifyonza.
Nilipata aibu sana hio siku, muda ulikuwa hautembei, dakika ni kama lisaa,