Wapigadebe Stendi ya Msamvu wana ushawishi kuliko wa stendi zote nchini

Huu u panic buyer ni kama umenisema mimi!

Niliwahi kulizwa hiyo power bank pale Ubungo stand, lakini nikachukulia kitendo hicho kama 'shambadarasa'.
 
[emoji16][emoji16][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23]!
 
Wananchi wa Morogoro ni tegemezi kwa Dsm.
Nadhani hii ndo sababu kubwa ya huu mji kuwa slow kwenye maendeleo.

Mtu akitaka kufanya shopping ya laki mbili husafiri kwenda kufanyia Dar.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
kweli kabisa,
nimewahi kufanya kazi za printing moro, mtu akiwa na kazi kubwa kidogo ya printing anakuja dar mwenyewe
 
Forest kwa moto sana mkuu maana kule ndio makao ya mkoa sijawahi hata uliza bei za kule. Kwa sasa naweza kukushauri utafute Lukobe, Mkundi, Kiegea na Bigwa.
Mkuu 60Γ—60 Mkundi, Kiegea naweza kupata kwa Sh ngapi ?
 
Kijiji gani mkuu?
 
Wananchi wa Morogoro ni tegemezi kwa Dsm.
Nadhani hii ndo sababu kubwa ya huu mji kuwa slow kwenye maendeleo.

Mtu akitaka kufanya shopping ya laki mbili husafiri kwenda kufanyia Dar.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Hiyo ilikuwa zamani mkuu wa not now.... Halafu hata mtu akihitaji kitu from Dar au Zanzibar watu wanaagiza tuu kwa mitandao na unapokea ofisi ya ABOOD Bus mbona?
 
Kitendo Cha watu wa Morogoro,kuniuzia power bank mbovu.sitokaa niwasahau kidogo nipoteze kazi kisa nilikuwa sipatikani kwenye simu
 
Hiyo ilikuwa zamani mkuu wa not now.... Halafu hata mtu akihitaji kitu from Dar au Zanzibar watu wanaagiza tuu kwa mitandao na unapokea ofisi ya ABOOD Bus mbona?
Still utegemezi wao kwa Dar unabakia.
Wanaagiza kwa Abood au wanaenda wenyewe Dar.
 
Week iliopita nilikuwa moro mjini kama siku 6. Mara ya kwanza nilimuliza mtu lodge za bei ya kati 25 na 30. Kilichotolea alinipeleka kwa lodge kama 8 nichague.

Siki nyingine nilimuuliza mtu duka linalouza taa za magari. Alinipeleka mpaka madukani.

Japo nilikuwa na usafiri lakini wana ikarimu wa aina yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…