financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
Haha Morogoro! Sitosahau siku naenda Mbeya nawaambia nahitaji bus fulani naambiwa Dada hilo bus siyo zuri na mtachelewa kufika sana panda hili linaondoka sahivi,aah sijui tu nikajikuta nabadilisha maamuzi aisee kilichotokea Mbeya tulifika usiku mnene bus bayaa speed hamna! Ila ahsanten kwa ukarimu wenu watu wa Moro.😀👍