Wapigaji na wezi wa mashirika ya Umma wanaposubiri kupandishiwa mishahara yao Mei Mosi

Mkuu sasa mbona umeongea kwa UJUMLA kiasi hiki kana kwamba wafanyakazi wa umma wote ni WEZI wa kutupwa?
 
Mkuu sasa mbona umeongea kwa UJUMLA kiasi hiki kana kwamba wafanyakazi wa umma wote ni WEZI wa kutupwa?
Wezi wachache ndio wanaharibu uaminifu wa walio wengi. Wanapaka matope ufanisi wa walio wengi.
 
Wewe ni.mchawi kama.sio.ibilisi. ukiugua una tibiwa na babu yako.? Kule shuleni watoto wanafundishwa na kima..? Mipaka ya nchi inalidwa na mizimu..? Hali ya usalama mtaani inalindwa na ng'ombe..? Wazee wa legacy kazi mnayo mtakufa na chuki, uchawi
 
Ana wivu wa kike, kesi mahakamani anahukumu yeye na ukoo wake labda
 
Ana wivu wa kike, kesi mahakamani anahukumu yeye na ukoo wake labda
Watu kama hawa wa huko usukumani bado wapo zama za ujinganism aisee. Ndio wale wale wanaosema degree iwe miezi 8 aisee. Yaani tuende hospital kutibiwa au kufanyiwa upasuaji na dokta wa miezi 8.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…