Wapiganaji wa Al-Shabaab wajilipua mabomu Somalia na kuua tisa

Wapiganaji wa Al-Shabaab wajilipua mabomu Somalia na kuua tisa

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Jamaa wana uzombi sana....roho ngumu yaani.

Al-Shabaab militants have claimed responsibility for two suicide car bombings targeting the Lamagalaay area of Beledweyne, Hiran Region, Oct. 3. The blast killed at least nine people, including senior government officials.

Heightened security measures and localized transport disruptions are likely around the blast site over the coming hours. Al-Shabaab militants will likely attempt to carry out similar operations in Beledweyne and elsewhere in the near term...

crisis24.garda
 
Hizi dini kwa kweli Mungu tu asimame maana jana dw nilisikia zanzibar kuna vijana saba hawajulikani waliko ila wazazi wao wanahisi wameenda kujiunga na makundi ya jihad swali la kujiuliza tu upuuuzi huu wanaupata wapi Mungu hapiganiwi hata siku moja yaaan Kaumba vitu kibao na vingine ni maajabu tu leo hii ww juma ndo ukakinge kifua kumpigania Mungu hebu tuache ufala bwana.
 
Tatizo la kuishi kwa kutegemea maneno ya mtu flani.

Hawa watu watajilipua hadi mwisho wa dunia.
Kwakuwa wameambiwa hicho ndicho kipaumbele chao.

Ni kwamba hawaambiliki, wao ni kasema, kasema, kasema mtume.

Waacheni wafe tu hakuna namna.
 
Hawa wapumbavu wanadhaminiwa na matajiri wa mafuta huko Uarabuni.
Bomu wananunua kwa pesa ipi?
Nguo, chakula n.k.
Waarabu wameharibu dunia
 
Kama nia yao ni kuua,wawaue Wasomali wote ili wabaki peke yao.Sioni hata maana ya mapigano yao.
 
Mnachukiana wenyewe kwanza kabla hatujawachukia, Somalia wote dini moja mnalipuana mabomu kisa allah na mohammed.
😂😂😂Shida ulete kashfa kwa uislamu tu hauna jipya mara sijui mauwaji ya hijabu ,unatumia nguvu tangu enzi za miaka buki izo nguvu zimetumika kuundamiza wapi hata malkia kapambana nao mpaka kafariki kaacha uislamu unaendelea zaidi haki itabaki pale pale
 
😂😂😂Shida ulete kashfa kwa uislamu tu hauna jipya mara sijui mauwaji ya hijabu ,unatumia nguvu tangu enzi za miaka buki izo nguvu zimetumika kuundamiza wapi hata malkia kapambana nao mpaka kafariki kaacha uislamu unaendelea zaidi haki itabaki pale pale

uislamu wenyewe umejiletea kashfa za kutosha tu, hauhitaji jitihada zaidi, sijui mko vipi au mliingiaje kwenye huo uzombi, hamna sehemu ya uislamu iliyotulia vizuri ni malumbano na kujilipua sijui shida huwa nini haswa....
 
Hawa inabidi dunia iungane waingiliwe kijeshi Somalia isafishwe kabisa, haijulikani hata wanataka kitu gani wao ni kulipua tu.
Walishindwa Marekani pale Somalia.
Alafu Al-Shabab wanaitaka ile nchi waiongoze Kidini(Kiislamu).

Haya Mambo ya Demokrasia haya ni uchwara especially Nchi za Kiafrika. Eti uchaguzi unafanyika kila baada ya Miaka 5 au 4, kila kiongozi anayeingia Madarakani anapiga pesa zake anatembea na Maendeleo yanakuwa hamna, utamaduni wa nchi unapotea sababu ya Demokrasia. Unakuta uhuru wa kusema, ukisema ukweli tu unapotezwa.

Kama kuna nchi inataka ijiongoze kidini either kikristo au kiislamu iachwe.
Leo hii ITALY, ROMA imepoteza dola yake(ROMAN EMPIRE), Sababu Demokrasia.
 
Back
Top Bottom