Wapiganaji wa Al-Shabaab wajilipua mabomu Somalia na kuua tisa

Wapiganaji wa Al-Shabaab wajilipua mabomu Somalia na kuua tisa

Ushoga uliletwa Afrika Mashariki na waarabu walipokuja kufanya biashara haramu ya utumwa na maeneo waliyokaa ndio yanaongoza kwa ushoga. Waarabu bogus kabisa.
Angalia jina lako kwanza siongei na shoga ,kaliwe mbele!
 
Hii dini itakuja kupigwa marufuku miaka ya mbele hapa Dunia ni suala la muda tu. Ngoja kwanza wanawake wa Iran wawachachafye mashehekhe then uje utaratibu mpya wa kuabudu. Baada ya hapo Suicide Bombers wote watapoteana.
pole sana nani wa kuipiga marufuku wewe au? iyo dini ilikuwepo before kabla ya kitu chochote apa duniani al shabab wanajulikana ni kikundi cha kina nani adi watu wanaokiendesha wanajulikana cha kujiuliza wanapata wapi silaha, pesa na vitu vingine adi kambi yao inajulikana ulishawai kujiulza why awavamiwi? wapo watu wanaokilea ndio wamefanya mpaka leo hii kiwepo mnapouongelea uislamu msiwe mnaufananisha na vikundi vya ovyo ovyo visivyojua vinapigania nini na kwa ajili ya nani.
 
... aisee; wangeielekeza katika academics, research, and innovation wangekuwa next level. Somalia ingekuwa inashindana na Japan in development.
Ila wapo Wasomali wasomi Sana na wanafundisha vyuo vikubwa duniani na kuongoza mashirika ya kimataifa, kiteknolojia na kampuni kadhaa za kimataifa....ila wameshindwa kuisaidia nchi yao.
 
Hizi dini kwa kweli Mungu tu asimame maana jana dw nilisikia zanzibar kuna vijana saba hawajulikani waliko ila wazazi wao wanahisi wameenda kujiunga na makundi ya jihad swali la kujiuliza tu upuuuzi huu wanaupata wapi Mungu hapiganiwi hata siku moja yaaan Kaumba vitu kibao na vingine ni maajabu tu leo hii ww juma ndo ukakinge kifua kumpigania Mungu hebu tuache ufala bwana.
Vijana wengi wamekosa elimu ya dini ndio shida inapoanzia kwaiyo anapotokea mtu mwenye nia ovu akawa brainwash tayari wanapotea wapo watu waislamu wenzangu wanasema kile wanachokifanya al shabab ni jihad jibu ni ili amna jihad pale ...jihad inasheria nyingi na kati ya izo sheria amna hata moja al shabab na vikundi vingine vya west ambayo wanaifuata
 
Tatizo la kuishi kwa kutegemea maneno ya mtu flani.

Hawa watu watajilipua hadi mwisho wa dunia.
Kwakuwa wameambiwa hicho ndicho kipaumbele chao.

Ni kwamba hawaambiliki, wao ni kasema, kasema, kasema mtume.

Waacheni wafe tu hakuna namna.
Sikieni nyie msio ufahamu uislamu vizuri acheni kusikiliza maneno ya mtaani wanachofanya al shabab kwa mujibu wa magundisho ya mtume na Qurani ni batili na wala awaupiganii uislamu bali wanapigania vikundi vya watu vilivyopo kwa ajili ya maslahi yao tu ..Ni haramu kwenyw uislamu kujitoa uhai wako mwenyewe
 
wavaa kobasi kwani wanajielewa? Kuna tatizo kubwa kwenye mafundisho yao hasa pale wanapoenda madrasa na kufundishwa judo na karate
judo na karate ni kwa ajili ya kujilinda na kwa afya yako mwenyewe mbona budha wanafanya ayo unayoyasema ..Ili kuufahamu uislamu inabidi uhusome ili uhuelewe siyo kwa kusikia maneno ya mtaani tu ...
 
Hawa inabidi dunia iungane waingiliwe kijeshi Somalia isafishwe kabisa, haijulikani hata wanataka kitu gani wao ni kulipua tu.
Wanaowadhamini ndio awawezi kukubali ilo litokee kwasabab ya maslahi yao wanayopata apo somalia west wanatumia divide and rule kama njia ya kutawala middle east na nchi nyingi za kiarabu ivi vikundi ni vya kwao wenyewe wamevianzisha kwa malengo yao wenyewe
 
Unaongea upinde wa mvua tuu naona ambao unawahusu pia, vipi ile kitu yenu mnayopenda sana ya bacha bazi, lets talk about it tumechoka unafiki wenu
😂😂😂Nyie si mpaka mapapa wanasapot waumini wao na kufungisha ndoa.
 
Ebu fikiria hiyo roho ngumu wangeielekeza kwenye nguvu kazi?!
Si wangekuwa mbali kimaendeleo!
Mazuzu kabisa hayo
Hiyo dini Shulman Rushed alishaandika kitabu kwamba hizo ni "Aya za shetani" mijitu inageuka mizombi kabisa
 
Ila wapo Wasomali wasomi Sana na wanafundisha vyuo vikubwa duniani na kuongoza mashirika ya kimataifa, kiteknolojia na kampuni kadhaa za kimataifa....ila wameshindwa kuisaidia nchi yao.
... kwa sababu ya wajinga wachache hao wasomi wanaishia Marekani na Ulaya. Sijui Afrika lini itajitambua.
 
Narudia tena ivyo vikundi vyote vimeanzishwa ili kudhoofisha nchi zao ili wasipate pingamizi wanapochukua raslimali zao rejea msumbiji 70% ya raia wao ni wakristo lakini ilipogundulika gesi tu IS wakatia timu apo cabo delgado kwenye gesi kumejazana millitary base za west kama zote watu wanajichukulia migesi tu wanapeleka kwao cha kujiuliza mbona aya mambo ayatokei Saudi arabia, Oman,Dubai,Kuwait na nchi nyingine zinazojiweza kiuchumi? kwanini ni zile nchi dhaifu tu saudi arabia inaongozwa na mfalme, Dubai ivyo ivyo oman sultan na kwenye sheria za dola za kiislamu mifumo kama iyo aitakiwi inatakiwa kuwe na kHALIFA siyo prince wala sultan.
Unaweza kuwasikia YouTube.
Andika
"Interview with Al-Shabab"

Utawasikia wanavyo sema malengo yao.
Pamoja na kuchukua maliasili ya sehemu wanazo vamia.
Nia yao kuu ni Islamic State.
 
Angalia jina lako kwanza siongei na shoga ,kaliwe mbele!
Waarabu wenu ndio mashoga wakubwa na waliwahasi watumwa wote waliowapeleka uarabuni na ndio maana hakuna uzao wa watumwa uarabuni. Tanzania maeneo yenye waislamu wengi ndio ushoga umeshamiri. Very hopeless.
 
... aisee; wangeielekeza katika academics, research, and innovation wangekuwa next level. Somalia ingekuwa inashindana na Japan in development.
Ilete hiyo kitu Tanzania, fikiria vile vidogo vya panya road , ile energy ya kukata watu mapanga wangeitumia kufanya utafiti huko mashuleni, hali ingekuwaje.
 
Back
Top Bottom