green rajab
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 12,387
- 39,119
FDLR Kimekua ni kisingizio kinachotumiwa na Rwanda ili kuhalalisha ugaidi na uvamizi wa mipaka ya Nchi nyingine huru.
Sasa si muda wa Mataifa kuikemea Rwanda kwa mdomo ni muda wa kuhujumu Utawala uliopo Kigali kwa Kuwawezesha FDLR kwa zana vita, mafunzo na kusaidia taarifa za kijasusi ili hujuma ilenge wa husika kwa usahihi.
Utawala wa Kigali sio wakuchekea hata kidogo ni utawala unazua chokochoko kila mara na Mataifa jirani ikumbukwe Kipindi cha Rais Kikwete Kagame alileta chokochoko kwa Tanzania mpaka tukafukuza Wanyarwanda wote Opereseheni Kimbunga, baada ya hapo Rwanda wakaanzisha chokochoko na Uganda hadi Mipaka ikafungwa, baada ya hapo Rwanda akashiriki kwenye jaribio la kumpindua Rais wa Burundi alipokua ziarani Tanzania na jaribio kuzimwa na Tanzania.
Leo amevamia Congo ambayo ni Nchi huru kwa kutumia prox Waasi wa M23 ambao ni Watusi. Huyu Kagame ni Nyoka na dawa ya nyoka ni kumkata kichwa ASP.