Wapiganaji wa Kiuyghur waliopo Syria waapa kuja kuishambulia China katika hatua inayo fuata

Hahah kama Israel inavyotaka iikalie GAZA mpaka iwasafishe HAMAS, kuondoa tishio la ugaidi dhidi ya raia wake.
 
Aisee hatari
 
Hahah kama Israel inavyotaka iikalie GAZA mpaka iwasafishe HAMAS, kuondoa tishio la ugaidi dhidi ya raia wake.
Gaza na Xinjiang hakuna mfanano.
 
Movement yao wanaiita ETIM imefanya matukio mengi ya ajabu China wapo linked na Al Qaeda
 
Aisee hatari
NED ni shirika la hovyo sana viongozi wake wakubwa wengi ni waliowahi kuwa maafisa wa CIA na liko financed na serikali ya Marekani

Wamekuwa wakilitumia kujifanya kupigania demokrasia katika mataifa mbalimbali lakini kihalisi wanafanya kazi na CIA kuwapandikiza viongozi wanaowataka kwa kuchochea machafuko dhidi ya serikali wasizozitaka kupitia color revolution

Currently wamefanya hivyo Venezuela (wamefeli), Bangladesh (wamefaulu), Romania (mchakato unaendelea aliyeshinda hawataki awe raisi) na sasa hivi wako Georgia

Marekani na mashirika yake kama USAID, NED, IRI, NDI na CIPE ni ya hovyo sana yanachangia distabilities sehemu mbalimbali duniani. Ndio maaana baadhi ya mataifa wameyafukuzia mbali katika nchi zao

Huwa nashangaa kwa nini serikali ya Tanzania wameruhusu hili shirika la NED na USAID lifungue ofisi zake hapa
 
Gaza na Xinjiang hakuna mfanano.
Marekani na Ulaya wana uchungu na Waislam wa Xinjiang wanaoishi maisha mazuri kuliko wa Gaza ambao mshirika wao Israel kila siku anawaua

Dunia ina unafiki sana hii
 
Marekani na Ulaya wana uchungu na Waislam wa Xinjiang wanaoishi maisha mazuri kuliko wa Gaza ambao mshirika wao Israel kila siku anawaua

Dunia ina unafiki sana hii
watu wa Gaza alikataa zaidvya ofa 3 , wao walitaka vita imalize mzozo wao
 
Jamani jamani. Hawa wavaa ndala sasa wanataka kukaangwa kama mishkaki. 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Gaza walianzisha vita wenyewe , mlitetea kuwa Idf hawawez ingia Gaza , hz story mnazitoa wap tena ? ila China anawatesa watu wa hilo jimbo
Wavaa ndala kama mandonga tu hata akipigwa anahesabu kashinda maana kuna vibendera 72 vinamngojea 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Propaganda tu hizi
 
China linapofika suala la kitaifa huwa wanaungana wote kutetea nchi yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…