Wapiganaji wa Kiuyghur waliopo Syria waapa kuja kuishambulia China katika hatua inayo fuata

China fanya yote ila linapokuja suala la kulinda taifa lao wanaungana wote.
Sidhani....

Ingekuwa hivyo Chang Kai-shek angepigana na Mao Tsetung.

Mistake kama hiyo Marekani aliifanya kwenye vita ya Korea mbili pale China alipoingia kutangaza vita na kupigana nao US allies wake.
China aliingilia kati Ili kumuokoa Korea Kaskazini ila mwishowe Korea zimebaki na mgawanyiko mpaka sasa.
 
Chiang kai shek na Mao walikuwa hawakubaliani kwenye utawala tu na sio kuhusu kuilinda na kuiunganisha China na ndio maana wote kwa pamoja KMT na CPC waliungana kupigana na Japan.

Baada ya kumshinda waliendeleza vita vyao vya kiutawala.

Chiang Kai shek alikuwa ni misimamo mikali kweli hata pale yeye na wanachama wake na jeshi lake walipo kimbilia Taiwan waliendelea kusisitiza China moja na alikuwa dikteta alipinga vibaya Taiwan kujitenga na yoyote atakaye fanya hivyo auwawe.

Mpaka leo KMT inapinga vikali mbinu yoyote ya kuitenga Taiwan na China japo wapo Taiwan.
 
Sidhani....

Ingekuwa hivyo Chang Kai-shek angepigana na Mao Tsetung.

China aliingilia kati Ili kumuokoa Korea Kaskazini ila mwishowe Korea zimebaki na mgawanyiko mpaka sasa.
Mr. Proved

Cheki marejeo yako vizuri kuhusu sababu za China kuingia kwenye vita ya wakorea..
 
This is AMERICA and her NATO Allies bullshit. They desperately wants to reduce the speed with which China is growing.
They have Russia in their range and now they are eying China..
 
Mr. Proved

Cheki marejeo yako vizuri kuhusu sababu za China kuingia kwenye vita ya wakorea..
China ilijiunga katika Vita ya Korea (1950-1953) kutokana na sababu kadhaa za kisiasa, kiusalama, na kiitikadi. Hapa kuna baadhi ya sababu kuu:

1. Kujilinda dhidi ya Marekani na Washirika wake

China ilihofia kuwa wanajeshi wa Marekani wangevuka mpaka wa Korea na kuingia Manchuria, eneo muhimu kaskazini mwa China.

Wanajeshi wa Marekani walikuwa wakisogea kuelekea Mto Yalu, ambao ni mpaka wa asili kati ya Korea ya Kaskazini na China, jambo lililowatia wasiwasi kuwa usalama wa China ulikuwa hatarini.

2. Kutoa msaada kwa Korea ya Kaskazini (DPRK)

Korea ya Kaskazini ilikuwa mshirika wa karibu wa China chini ya uongozi wa Kim Il-Sung, ambaye aliiomba msaada wa China baada ya kushindwa katika mashambulizi ya Umoja wa Mataifa yaliyoongozwa na Marekani.

China iliona ni muhimu kudumisha Korea ya Kaskazini kama buffer state kati yake na Korea ya Kusini, inayoungwa mkono na Marekani.

3. Kuimarisha Itikadi ya Kikomunisti

China ilitaka kuonyesha mshikamano wa Kikomunisti na Umoja wa Kisovieti, ambao pia ulikuwa ukisaidia Korea ya Kaskazini kwa silaha na vifaa.

Kama taifa jipya la Kikomunisti baada ya Mapinduzi ya 1949, China iliona kuwa ushiriki wake ungeimarisha nafasi yake kama nguvu kuu katika ulimwengu wa Kikomunisti.

4. Kujitengenezea Heshima ya Kimataifa

Kujiunga kwenye vita kulichukuliwa kama njia ya kuonyesha nguvu ya kijeshi ya China baada ya miongo ya kudhalilishwa na madola ya Magharibi.

Mao Zedong aliamini kuwa ushindi wa China ungeimarisha msimamo wake kama taifa linaloweza kukabiliana na mataifa yenye nguvu kama Marekani.

5. Shinikizo kutoka Umoja wa Kisovieti

Umoja wa Kisovieti, chini ya Stalin, ulihimiza China kushiriki vita kama sehemu ya mkakati wa kupambana na ushawishi wa Marekani katika Asia.

Ingawa Umoja wa Kisovieti haukutuma wanajeshi wake moja kwa moja, uliisaidia China.

(Kwa hisani ya Chatgpt)
 
On September 15, the U.S. forces conducted the Incheon Landing, forcing the DPRK forces to retreat. Meanwhile, U.S. military planes intruded into China's airspace, bombing airports and infrastructure along its border with the DPRK.

Do not step across the 38th parallel, China repeatedly cautioned.

But the United States ignored the warning. Its army poured across the line on October 7 and pressed on towards the Sino-Korean border.

The next day, at a time when China's national security was threatened and upon receiving then DPRK leader Kim Il Sung's urgent request for aid, the Chinese People's Volunteers (CPV) was formed.

On October 19, the CPV crossed the Yalu River to fight together with the DPRK army.
 
ila China anawatesa watu wa hilo jimbo
Mpaka sasa hakuna taifa wala shirika ambalo limetoa ushahidi kuwa watu wa Xinjiang wanateswa, ni propaganda tu ndizo zinasema hivyo.

Na viongozi kutoka nchi za Kiislam wameenda Xinjiang hawajaona watu wakiteswa wala kambi za mateso watu wanaishi vizuri tu
 
Wasijaribu Michina itawachoma kama ndafu harusini na kule neno haki za binadamu lilishachimbiwa kaburi na kuzikwa zamani mnooo.
Wameshasema wanampigania allah kwa hiyo hawaogopi ukatili wa wavimba macho.
 
  • Kicheko
Reactions: EEX
China fanya yote ila linapokuja suala la kulinda taifa lao wanaungana wote.

Mistake kama hiyo Marekani aliifanya kwenye vita ya Korea mbili pale China alipoingia kutangaza vita na kupigana nao US allies wake.
Ni kama waisraeli walivyoungana kuwakaanga magaidi kule Gaza, Lebanon, Syria, Yemen nk.
China nayo ina haki ya kuwashughulikia magaidi
 
hapa kuna vita kati ya ubepari na ujamaa na sio venginevyo lengo lao ni kuweka NWO hivyo wanajaribu kuondoa makapi.
 
Uzuri vikundi vyote vya kigaidi sponsor wake anajulikana na malengo yake yanajulikana
 
Back
Top Bottom