China fanya yote ila linapokuja suala la kulinda taifa lao wanaungana wote.Propaganda tu hizi
Sidhani....China fanya yote ila linapokuja suala la kulinda taifa lao wanaungana wote.
China aliingilia kati Ili kumuokoa Korea Kaskazini ila mwishowe Korea zimebaki na mgawanyiko mpaka sasa.Mistake kama hiyo Marekani aliifanya kwenye vita ya Korea mbili pale China alipoingia kutangaza vita na kupigana nao US allies wake.
Chiang kai shek na Mao walikuwa hawakubaliani kwenye utawala tu na sio kuhusu kuilinda na kuiunganisha China na ndio maana wote kwa pamoja KMT na CPC waliungana kupigana na Japan.Sidhani....
Ingekuwa hivyo Chang Kai-shek angepigana na Mao Tsetung.
China aliingilia kati Ili kumuokoa Korea Kaskazini ila mwishowe Korea zimebaki na mgawanyiko mpaka sasa.
Mr. ProvedSidhani....
Ingekuwa hivyo Chang Kai-shek angepigana na Mao Tsetung.
China aliingilia kati Ili kumuokoa Korea Kaskazini ila mwishowe Korea zimebaki na mgawanyiko mpaka sasa.
China ilijiunga katika Vita ya Korea (1950-1953) kutokana na sababu kadhaa za kisiasa, kiusalama, na kiitikadi. Hapa kuna baadhi ya sababu kuu:Mr. Proved
Cheki marejeo yako vizuri kuhusu sababu za China kuingia kwenye vita ya wakorea..
On September 15, the U.S. forces conducted the Incheon Landing, forcing the DPRK forces to retreat. Meanwhile, U.S. military planes intruded into China's airspace, bombing airports and infrastructure along its border with the DPRK.China ilijiunga katika Vita ya Korea (1950-1953) kutokana na sababu kadhaa za kisiasa, kiusalama, na kiitikadi. Hapa kuna baadhi ya sababu kuu:
1. Kujilinda dhidi ya Marekani na Washirika wake
China ilihofia kuwa wanajeshi wa Marekani wangevuka mpaka wa Korea na kuingia Manchuria, eneo muhimu kaskazini mwa China.
Wanajeshi wa Marekani walikuwa wakisogea kuelekea Mto Yalu, ambao ni mpaka wa asili kati ya Korea ya Kaskazini na China, jambo lililowatia wasiwasi kuwa usalama wa China ulikuwa hatarini.
2. Kutoa msaada kwa Korea ya Kaskazini (DPRK)
Korea ya Kaskazini ilikuwa mshirika wa karibu wa China chini ya uongozi wa Kim Il-Sung, ambaye aliiomba msaada wa China baada ya kushindwa katika mashambulizi ya Umoja wa Mataifa yaliyoongozwa na Marekani.
China iliona ni muhimu kudumisha Korea ya Kaskazini kama buffer state kati yake na Korea ya Kusini, inayoungwa mkono na Marekani.
3. Kuimarisha Itikadi ya Kikomunisti
China ilitaka kuonyesha mshikamano wa Kikomunisti na Umoja wa Kisovieti, ambao pia ulikuwa ukisaidia Korea ya Kaskazini kwa silaha na vifaa.
Kama taifa jipya la Kikomunisti baada ya Mapinduzi ya 1949, China iliona kuwa ushiriki wake ungeimarisha nafasi yake kama nguvu kuu katika ulimwengu wa Kikomunisti.
4. Kujitengenezea Heshima ya Kimataifa
Kujiunga kwenye vita kulichukuliwa kama njia ya kuonyesha nguvu ya kijeshi ya China baada ya miongo ya kudhalilishwa na madola ya Magharibi.
Mao Zedong aliamini kuwa ushindi wa China ungeimarisha msimamo wake kama taifa linaloweza kukabiliana na mataifa yenye nguvu kama Marekani.
5. Shinikizo kutoka Umoja wa Kisovieti
Umoja wa Kisovieti, chini ya Stalin, ulihimiza China kushiriki vita kama sehemu ya mkakati wa kupambana na ushawishi wa Marekani katika Asia.
Ingawa Umoja wa Kisovieti haukutuma wanajeshi wake moja kwa moja, uliisaidia China.
(Kwa hisani ya Chatgpt)
FuatiliaPropaganda tu hizi
China linapofika suala la kitaifa huwa wanaungana wote kutetea nchi yao.
watu wa Gaza alikataa zaidvya ofa 3 , wao walitaka vita imalize mzozo wao
ila China anawatesa watu wa hilo jimbo
Wameshasema wanampigania allah kwa hiyo hawaogopi ukatili wa wavimba macho.Wasijaribu Michina itawachoma kama ndafu harusini na kule neno haki za binadamu lilishachimbiwa kaburi na kuzikwa zamani mnooo.
Ni kama waisraeli walivyoungana kuwakaanga magaidi kule Gaza, Lebanon, Syria, Yemen nk.China fanya yote ila linapokuja suala la kulinda taifa lao wanaungana wote.
Mistake kama hiyo Marekani aliifanya kwenye vita ya Korea mbili pale China alipoingia kutangaza vita na kupigana nao US allies wake.
When red looks red