#COVID19 Wapinga chanjo wengi wamepungukiwa na akili, jionee uthibitisho

#COVID19 Wapinga chanjo wengi wamepungukiwa na akili, jionee uthibitisho

ngebe

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2020
Posts
1,789
Reaction score
5,117
samahani kama nimetumia neno baya, lakini ukweli ndio huo, nimesikiliza na kusoma basdhi ya hoja na maoni ya wapinga chanjo, nimegundua taifa hili bado linamzigo wa ujimga kwa asilimia 90, soma baadhi ya sabanu zao

huyu yeye anaamini alinayechoma hiyo sindano ni ummy mwalimu, kwaiyo anahoji, na kupitia hiyo picha ameona chanjo ni miyeyusho tu

IMG_20210802_011527.png




IMG_20210802_013620.png


IMG_20210802_013256.png


IMG_20210802_015749.png
IMG_20210802_015606.png
IMG_20210802_015627.png
IMG_20210802_015719.png
IMG_20210802_015659.png
IMG_20210802_015549.png
IMG_20210802_015528.png
IMG_20210802_015510.png
IMG_20210802_015445.png
IMG_20210802_015346.png



IMG_20210802_021658.png
IMG_20210802_021636.png
IMG_20210802_021607.png




 
Kati ya hao waliopungukiwa akili wewe lazima umo, hata kama utapata chanjo. Kupungukiwa akili hakuwezi kupimwa kwa kukataa chanjo peke, hata kuandika porojo kama hii uliyoweka hapa ni dalili nzuri sana ya kupungukiwa akili
 
samahani kama nimetumia neno baya, lakini ukweli ndio huo, nimesikiliza na kusoma basdhi ya hoja na maoni ya wapinga chanjo, nimegundua taifa hili bado linamzigo wa ujimga kwa asilimia 90, soma baadhi ya sabanu zao

huyu yeye anaamini alinayechoma hiyo sindano ni ummy mwalimu, kwaiyo anahoji, na kupitia hiyo picha ameona chanjo ni miyeyusho tu

View attachment 1876910


View attachment 1876911

View attachment 1876912

View attachment 1876917View attachment 1876921View attachment 1876920View attachment 1876918View attachment 1876919View attachment 1876922View attachment 1876923View attachment 1876924View attachment 1876925View attachment 1876926


View attachment 1876929View attachment 1876930View attachment 1876931


Masalia ya mwendazake hayo. Yaani dhalim aliwalisha watu wake upumbavu mwingi sana
 
Wenawe! Sasa hapo huko 'kutokuwa na akili' kwao kupo wapi?

Maana
1.Kufananisha ni sawa tu maana watu wanafanana, ukizingatia kavaa barakoa huyo haonekani vyema

2.Kuhusu chanjo fake kwa wakuu fafanueni (mkiwa kama serikali) ili kuondoa rumours

3.Mchomaji wa sindano kutokuvaa glavu ilikuwa wazi kabisa haina ubishi na wala haihitaji hoja ya utetezi (ukizingatia na ishu yenyewe kuwa ni corona)

4.Kuhusu madhara ya chanjo madaktari wengi duniani pamoja na waliotumia chanjo kabla yetu wameshayaeleza sana tu sasa hapo wengine wakisema ujinga wao unatoka wapi

5.Mwisho japo si katika listi, tuondoleeni tozo za simu/miamala mtatuua!

In this world, EVERYTHING IS PLANNED

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hoja za Bi Mkubwa kwamba chanjo ya mwendokasi ni salama salmini:

1. Mimi ni mama
2. Mimi ni mwanamke
3. Mimi nina watoto
4. Mimi nina wajukuu kadhaa
5. Mimi ni Rais
6. Mimi ni mkuu wa nchi
7. Mimi ni kiongozi wa serikali
8. Mimi ni Amiri Jeshi mkuu wa majeshi yote ya JMT
9. Nilishawahi kuchomwa chanjo ya ndui na surua nikiwa mdogo
10. Mimi nimeshuhudia familia zilizoguswa na ugonjwa wa korona

Kwa hiyo, chanjo ni salama ndugu zangu; msiwe na wasiwasi kabisa!!!
 
Kama kuna mtu mwenye ubongo na anamwamini gwajima uyo anahitaji msaada mkubwa sana
 
Mtoa mada,naomba unijibu maswali haya kwanza, ukishindwa nitajua na wewe uko kwenye 90% za wajinga ulizo sema.

1. Chanjo iliyokuja, imefanyiwa utafiti kwa muda gan

2. Umejaribiwa kwa viumbe gan kabla ya kujaribia binadam

3.Chanjo iliyokuja Tz, Ina chamical contents zip? Kwa maana nipe full specifications

5. Kwanini ikaitwe JJ?

6. Chanjo zote tulizo chanjwa, hazina mambo ya kusaini mkataba kwamba ukipata madhara hakuna wa kulaum. Lakin hii lazma usaini kwann?

Jibu kwanza hayo ndo naweza kuhisi haumo kwenye kundi la wajinga.
 
Back
Top Bottom