#COVID19 Wapinga chanjo wengi wamepungukiwa na akili, jionee uthibitisho

#COVID19 Wapinga chanjo wengi wamepungukiwa na akili, jionee uthibitisho

Elimu inahitajika sana, kuna upotoshwaji mkubwa mno (uhalibifu) ulifanyika hapo nyuma kuhusu hizi chanjo na barakoa. Wananchi wana haki ya kujua undani wa chanjo hizi - wajibuni hoja zao kwa kina.
 
Na wale wasiotaka chanjo kule Ufaransa hadi wanapigwa mabomu ya machozi nao hoja zao zipi za kukataa chanjo?
 
samahani kama nimetumia neno baya, lakini ukweli ndio huo, nimesikiliza na kusoma basdhi ya hoja na maoni ya wapinga chanjo, nimegundua taifa hili bado linamzigo wa ujimga kwa asilimia 90, soma baadhi ya sabanu zao

huyu yeye anaamini alinayechoma hiyo sindano ni ummy mwalimu, kwaiyo anahoji, na kupitia hiyo picha ameona chanjo ni miyeyusho tu

View attachment 1876910

View attachment 1876911

View attachment 1876912

View attachment 1876917View attachment 1876921View attachment 1876920View attachment 1876918View attachment 1876919View attachment 1876922View attachment 1876923View attachment 1876924View attachment 1876925View attachment 1876926

View attachment 1876929View attachment 1876930View attachment 1876931

View attachment 1876932

Subiri utiwe kwenye oksijeni ndio utie akili
 
Masalia ya mwendazake hayo. Yaani dhalim aliwalisha watu wake upumbavu mwingi sana
Kachanje wewe, mbona unahasira zisizo na sababu, jinga kabisa Wewe, unapata wapi uhalali wa kuwaita watu wanaokataa ujinga wako kuwa ni wajinga?

Pambania hali yako
 
Let me ask, maybe you re intelligent enough to answer my questions ....

(1) What are the components of vaccine??
(2) Is it safe to take it?
(3) What will happen to my DNA after taking the Vaccine?
(4) What are the side effects
(5) What about the fact that people experience electromagnetism after being vaccinated?
(6) Are the rumours true (which some scientists have proven) some of the components of the vaccines are nano particles graphene oxide which reacts very aggressively on 5G through IA?

For the record i did not say I'm going to or will not take the vaccine, am just being cautious because there is no long-term data on its safety and covid19 recovery is 97.9%. Moreover I hate being bullied and blackmailed to take this experimental mNRA until enough data is available especially on its long term effects, maybe 5 to 10 years data.# Nimekubali kuwa mjinga kama ujinga ni kulinda afya yangu na ya kizazi changu, wewe mwenye akili kachome, ila nitafurahi ukitoa majibu 😀😀😀
 
Hoja za Bi Mkubwa kwamba chanjo ya mwendokasi ni salama salmini:

1. Mimi ni mama
2. Mimi ni mwanamke
3. Mimi nina watoto
4. Mimi nina wajukuu kadhaa
5. Mimi ni Rais
6. Mimi ni mkuu wa nchi
7. Mimi ni kiongozi wa serikali
8. Mimi ni Amiri Jeshi mkuu wa majeshi yote ya JMT
9. Nilishawahi kuchomwa chanjo ya ndui na surua nikiwa mdogo
10. Mimi nimeshuhudia familia zilizoguswa na ugonjwa wa korona

Kwa hiyo, chanjo ni salama ndugu zangu; msiwe na wasiwasi kabisa!!!
Huko ni kutafuta huruma tu 😂😂
Yani tuchome chanjo kwa huruma jama
 
Katika hili kundi la Wapinga Chanjo kuna wengine ni ma Mbumbumbu kupita maelezo na kuna wengine ni very smart.
 
Back
Top Bottom