#COVID19 Wapinga chanjo wengi wamepungukiwa na akili, jionee uthibitisho

Elimu inahitajika sana, kuna upotoshwaji mkubwa mno (uhalibifu) ulifanyika hapo nyuma kuhusu hizi chanjo na barakoa. Wananchi wana haki ya kujua undani wa chanjo hizi - wajibuni hoja zao kwa kina.
 
Na wale wasiotaka chanjo kule Ufaransa hadi wanapigwa mabomu ya machozi nao hoja zao zipi za kukataa chanjo?
 
Subiri utiwe kwenye oksijeni ndio utie akili
 
Masalia ya mwendazake hayo. Yaani dhalim aliwalisha watu wake upumbavu mwingi sana
Kachanje wewe, mbona unahasira zisizo na sababu, jinga kabisa Wewe, unapata wapi uhalali wa kuwaita watu wanaokataa ujinga wako kuwa ni wajinga?

Pambania hali yako
 
Let me ask, maybe you re intelligent enough to answer my questions ....

(1) What are the components of vaccine??
(2) Is it safe to take it?
(3) What will happen to my DNA after taking the Vaccine?
(4) What are the side effects
(5) What about the fact that people experience electromagnetism after being vaccinated?
(6) Are the rumours true (which some scientists have proven) some of the components of the vaccines are nano particles graphene oxide which reacts very aggressively on 5G through IA?

For the record i did not say I'm going to or will not take the vaccine, am just being cautious because there is no long-term data on its safety and covid19 recovery is 97.9%. Moreover I hate being bullied and blackmailed to take this experimental mNRA until enough data is available especially on its long term effects, maybe 5 to 10 years data.# Nimekubali kuwa mjinga kama ujinga ni kulinda afya yangu na ya kizazi changu, wewe mwenye akili kachome, ila nitafurahi ukitoa majibu πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Huko ni kutafuta huruma tu πŸ˜‚πŸ˜‚
Yani tuchome chanjo kwa huruma jama
 
Katika hili kundi la Wapinga Chanjo kuna wengine ni ma Mbumbumbu kupita maelezo na kuna wengine ni very smart.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…