Wapingaji wa Serikali Tatu wanahoja nyepesi!!!

Tobido

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2010
Posts
331
Reaction score
76
Habari Wadau.

Nmesoma hoja nyingi sana za wanaopinga serikali tatu na "to be honest they are very weak" kutokana na sababu zifuatazo:

1.Hoja ya gharama
Ukimsikiliza mwenyekiti wa tume amebainisha dhahiri jinsi mgawanyiko wa wizara utakavyokuwa na jinsi gharama zitakavyopungua kutokana na hayo mabadiliko na pia juu ya kupunguza idadi ya wabunge. Mbona serikali ya Zanzibar imeexist miaka yote hii na hatujaongea suala la gharama. Kwa nini leo tunataka kuwanyima fursa ya Watanganyika kujitawala kwa kisingizio cha gharama?? Suala la serikali tatu ni muhimu kwa ustawi wa nchi yetu pamoja na usimamizi mzuri wa rasilimali zetu. Kilio cha wazanzibar kitakua kimesikika kwa kuanzisha huu mfumo sababu itazipa pande zote mbili uwezo wa kujitawala na pia kukuutafakari zaidi muungano kwa pamoja kama pande mbili husika.

2.Kupuuza madai ya zanzibar
Kila siku tunasikia malalamiko kutoka upande wa pili wakitaka kupata mamlaka kamili kwa nchi yao hata leo tukipitisha referendum lazima washinde katika hilo. Kukataa serikali tatu ni kuzidi kuchochea vurugu za kisiasa hapa nchini.

3. Kutokutoa mbadala wa serikali tatu
Hata viongozi wakubwa niliowasikia hawatoi mbadala wa serikali tatu zaidi ya kutaka kuwakaririsha wananchi juu ya gharama gharama gharama. Please toeni alternative sio kubwabwaja tu.

Kwa jinsi ninavyoona suala la serikali moja haliwezekani wala tusipoteze mda na hilo. Pia mfumu huu wa muungano uliopo ushaprove failure. Mambo yanayowezekana ni serikali tatu au kuvunja muungano na kubaki na serikali mbili huku tukiishi kwa ujirani mwema.

I STAND TO BE CORRECTED.
 
Forget about three Governments,this is not exactly what we want. We want a constitution which promote democracy,liberty,Equity, and which put in place a goverment directed to oversee equitable distribution of nation's wealth and reduce or eliminate economic injustice.

This report referred to us rasimu ya katiba has been greatly reduced to nonsense because it has not covered every of these and where it has done,the output is very immaterial.

That is why I keep saying this is non sense,and real the retired prime minister and our comrade professa Bageru has greatly disgraced themselves for being part of this.
 
Nakuunga mkono kamanda. watu wanaopinga kimsingi ni mburula tu. hawa hawana uhakika na kula yao ikiwa mfumo unaowafanya kuwa walivyo ukitoweka. kwa maana nyingine, yawezekana kwa namna moja au nyingine, wanaopinga wamefaidika na mfumo uliopo hivyo wanaona ni hatari sana kuugusa. lakini zaidi ni kuwa hawa wanaopinga naona ni kama watu wasio na uzalendo, kwani kwao matatizo ya mfumo uliopo hayawahusu huku sehemu kubwa ya Watanganyika ikizidi kuumia.

big up sana.
 
Katiba nzima ni -----.
Na janja ya CCm imeleta makusudi hoja ya serikali tatu ili kuwasahaulisha watanzania juu ya katiba.
Tunatengeneza Katiba ya nchi na Muungano ni sehem ndogo tu ya iyo katiba.
The proposal is weak in many aspects, and the only way to save their skin is to run the show under pretext of serikali tatu.
 
Forget about three Governments,this is not exactly what we want. We want a constitution which promote democracy,liberty,Equity, and which put in place a goverment directed to oversee equitable distribution of nation's wealth and reduce or eliminate economic injustice.

This report referred to us rasimu ya katiba has been greatly reduced to nonsense because it has not covered every of these and where it has done,the output is very immaterial.

That is why I keep saying this is non sense,and real the retired prime minister and our comrade professa Bageru has greatly disgraced themselves for being part of this.

The rasimu is not the end of the road. Your concerns can all be included through Constitution Parliament which comprises of all social groups. A lot of things are still to be added.
 
Mi hoja yangu.. ni tuwe na Tanganyika yetu ili tupunguze mzigo tuliobeba kwa takriban miaka 50, tumechoka!!!
Wajitegemee wao pia wanaodai dola kamili. Watakula kupitia mgongo wetu hadi lini?
Haya we usiyetaka Tanganyika irudi una hoja gani?
Tumechoka tumechoka tumechoka kuwabeba wasiobebeka.
Bora kuwatua na kubaki wepesi watanganyika tusonge mbele. Mtoa mada unaonaje hilo?
 
Nakuunga mkono kamanda. watu wanaopinga kimsingi ni mburula tu. hawa hawana uhakika na kula yao ikiwa mfumo unaowafanya kuwa walivyo ukitoweka. kwa maana nyingine, yawezekana kwa namna moja au nyingine, wanaopinga wamefaidika na mfumo uliopo hivyo wanaona ni hatari sana kuugusa. lakini zaidi ni kuwa hawa wanaopinga naona ni kama watu wasio na uzalendo, kwani kwao matatizo ya mfumo uliopo hayawahusu huku sehemu kubwa ya Watanganyika ikizidi kuumia.

big up sana.

Ukiona mtu anakimbilia kutoa matusi badala ya kutoa hoja anza kutilia mashaka uelewa wake au to be concise tilia mashaka elimu yake.wanao pinga serikali tatu siyo mamburula kama unavyo dhani.kwanza ni kwamba huwezi kuunda serikali tatu bila kuuvunja MUUNGANO uliopo.SHERIA YA ya uanzishwaji wa kamati ya rasimu ya katiba mpya inakataza hoja ya kuvunja muungano, unajua hiyo? lakini pia tafakari yafuatayo ikiwa hilo la serikali tatu likiwezekana na vurugu zinazo weza kujitoeza huko tuendako.
1.fikiria siku moja huku bara akapatikana RAIS aliye kuwa mgombea binafsi. zanzibar akashinda mgombea wa CUF, na yule wa MUUNGANO akawa ni yule aliye toka say, CHADEMA.Je, unaweza kubashiri nini kitatokea?
2.Serikali yenye mamlaka kamili ya zanzibar ikiwa rafiki wa alshabab na ile ya bara ikawa kinyume na hilo, je RAIS wa MUUNGANO atakuwa upande gani?
3.Serikali yenye mamlaka kamili ya ZANZIBAR ikikataa kuchangia gharama za Muungano, hali itakuwaje?
TAFAKARI, CHUKUA HATUA.
 
Habari Wadau.

Nmesoma hoja nyingi sana za wanaopinga serikali tatu na "to be honest they are very weak" kutokana na sababu zifuatazo:

1.Hoja ya gharama
Ukimsikiliza mwenyekiti wa tume amebainisha dhahiri jinsi mgawanyiko wa wizara utakavyokuwa na jinsi gharama zitakavyopungua kutokana na hayo mabadiliko na pia juu ya kupunguza idadi ya wabunge. Mbona serikali ya Zanzibar imeexist miaka yote hii na hatujaongea suala la gharama. Kwa nini leo tunataka kuwanyima fursa ya Watanganyika kujitawala kwa kisingizio cha gharama?? Suala la serikali tatu ni muhimu kwa ustawi wa nchi yetu pamoja na usimamizi mzuri wa rasilimali zetu. Kilio cha wazanzibar kitakua kimesikika kwa kuanzisha huu mfumo sababu itazipa pande zote mbili uwezo wa kujitawala na pia kukuutafakari zaidi muungano kwa pamoja kama pande mbili husika.

2.Kupuuza madai ya zanzibar
Kila siku tunasikia malalamiko kutoka upande wa pili wakitaka kupata mamlaka kamili kwa nchi yao hata leo tukipitisha referendum lazima washinde katika hilo. Kukataa serikali tatu ni kuzidi kuchochea vurugu za kisiasa hapa nchini.

3. Kutokutoa mbadala wa serikali tatu
Hata viongozi wakubwa niliowasikia hawatoi mbadala wa serikali tatu zaidi ya kutaka kuwakaririsha wananchi juu ya gharama gharama gharama. Please toeni alternative sio kubwabwaja tu.

Kwa jinsi ninavyoona suala la serikali moja haliwezekani wala tusipoteze mda na hilo. Pia mfumu huu wa muungano uliopo ushaprove failure. Mambo yanayowezekana ni serikali tatu au kuvunja muungano na kubaki na serikali mbili huku tukiishi kwa ujirani mwema.

I STAND TO BE CORRECTED.

Why have you decided to narrow your analysis by comparing only "Three vs One"?

Mbona kuna wengi tu wanataka "Two" + Ujirani mwema (Tanganyika and Zanzibar with Ujirani mwema between them)...
 
Wazanzibar hawaitaji pungufu ya mamlaka kamili,tuachiwe tupumueee.....zanzbr kwanza.
 
Forget about three Governments,this is not exactly what we want. We want a constitution which promote democracy,liberty,Equity, and which put in place a goverment directed to oversee equitable distribution of nation's wealth and reduce or eliminate economic injustice.

This report referred to us rasimu ya katiba has been greatly reduced to nonsense because it has not covered every of these and where it has done,the output is very immaterial.

That is why I keep saying this is non sense,and real the retired prime minister and our comrade professa Bageru has greatly disgraced themselves for being part of this.

Mkuu you have not given out the altenative solution than just lamenting for nothing.Warioba and co have said clear the proposed three tier govt will reduce cost in all aspects.one govt is an impossible possibility, two govt is the one we have at present.the last resort be three tier.period
 
Ukiona mtu anakimbilia kutoa matusi badala ya kutoa hoja anza kutilia mashaka uelewa wake au to be concise tilia mashaka elimu yake.wanao pinga serikali tatu siyo mamburula kama unavyo dhani.kwanza ni kwamba huwezi kuunda serikali tatu bila kuuvunja MUUNGANO uliopo.SHERIA YA ya uanzishwaji wa kamati ya rasimu ya katiba mpya inakataza hoja ya kuvunja muungano, unajua hiyo? lakini pia tafakari yafuatayo ikiwa hilo la serikali tatu likiwezekana na vurugu zinazo weza kujitoeza huko tuendako.
1.fikiria siku moja huku bara akapatikana RAIS aliye kuwa mgombea binafsi. zanzibar akashinda mgombea wa CUF, na yule wa MUUNGANO akawa ni yule aliye toka say, CHADEMA.Je, unaweza kubashiri nini kitatokea?
2.Serikali yenye mamlaka kamili ya zanzibar ikiwa rafiki wa alshabab na ile ya bara ikawa kinyume na hilo, je RAIS wa MUUNGANO atakuwa upande gani?
3.Serikali yenye mamlaka kamili ya ZANZIBAR ikikataa kuchangia gharama za Muungano, hali itakuwaje?
TAFAKARI, CHUKUA HATUA.
Bado umuhimu wa serikali tatu unajionyesha unahitajika hoja hizo zote ulizozihanisha ndizo za kuzijadili nini kifanyike kama itatokea hivyo. lakini sio kukataa tu.Na kama tukikubali muungano ubaki na kama ulivyo jua basi muda si mrefu neno muungano utabaki kuwa hadithi.
 
Back
Top Bottom