KARLO MWILAPWA
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 2,789
- 4,951
Haijalishi kwenye kampeni umejaza watu kiasi gani, wingi wa watu sio wingi wa wapiga kura. Kama hawajajiandisha hao ni watazamaji tu .
Haijalishi una sera nzuri kiasi gani ila ili sera zako zishinde zinahitaji wapigakura waliojiandikisha kupiga kura
Haijalishi mnapambana na yapi lakini kujihakikishia mnayotaka ni kupitia sanduku la kura kwa waliojiandikisha.
Haijalishi