Uchaguzi 2020 Wapinzani hawako tayari kuongoza nchi

Amani Msumari

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2016
Posts
1,830
Reaction score
972
Wanabodi,

Ninafurahi kuona kampeni za Uchaguzi mkuu wa 2020 zimeanza huku amani ikitamalaki licha ya changamoto za hapa na pale.

Nimefuatilia uzinduzi wa kampeni wa vyama vya CCM, CDM na ACT- Wazalendo na kugundua kuwa upinzani bado haujajipanga kuchukua dola.

Uzinduzi wao umejawa na ulalamishi na kupiga madongo CCM. Hakuna matumaini yoyote ya maana kutoka kwao. CHADEMA hawakuweza hata kuwanadi wagombea wa nafasi ya udiwani. Walishindwa hata kumualika mgombea wao wa Zanzibar. Yani mambo ni hovyo.

Upande mwingine mgombea wa CCM alitoa hotuba iliyojaa matumaini, iliyosheheni data na kutoa dira.

Kwa upande wa mgombea wa CCM hata jinsi alivyoshughulikia ugonjwa wa korona peke yake inatosha kumpigia kampeni.

Wapinzani wanasema TBC haiwatendei haki lakini TBC hiyo ikienda kurusha matangazo yao wanafukuzwa. Walisema kuhusu muungano lakini hakuna lolote. Tuwakatae.

#2020 kura kwa John
 
Wanabodi,

Ninafurahi kuona kampeni za Uchaguzi mkuu wa 2020 zimeanza huku amani ikitamalaki licha ya changamoto za hapa na pale.

Nimefuatilia uzinduzi wa kampeni wa vyama vya CCM, CDM na ACT- Wazalendo na kugundua kuwa Upinzani bado haujajipanga kuchukua dola.

Uzinduzi wao umejawa na ulalamishi na kupiga madongo CCM. Hakuna matumaibi yoyote ya maana kutoka kwao. CDM hawakuweza hata kuwanadi wagombea wa nafasi ya udiwani. Walishindwa hata kumualika mgombea wao wa Zanzibar. Yani mambo ni hovyo.

Upande mwingine mgombea wa CCM alitoa hotuba iliyojaa matumaini, iliyosheheni data na kutoa dira.

Kwa upande wa mgombea wa CCM, hata jinsi alivyosvughulikia ugonjwa wa korona peke yake inatosha kumpigia kampeni

Wapinzani wanasema TBC haiwatendei haki lakini TBC hiyo ikienda kurusha matangazo yao wanafujuzwa. Walisema kuhusu muungano lakini hakuna lolote. Tuwakatae.

#2020 kura kwa John
Kama wewe mzalendo halisi utakuwa umejifunza kwanini walalamike vinginevyo ni wale wale.
 
Wanabodi,

Ninafurahi kuona kampeni za Uchaguzi mkuu wa 2020 zimeanza huku amani ikitamalaki licha ya changamoto za hapa na pale.

Nimefuatilia uzinduzi wa kampeni wa vyama vya CCM, CDM na ACT- Wazalendo na kugundua kuwa Upinzani bado haujajipanga kuchukua dola.

Uzinduzi wao umejawa na ulalamishi na kupiga madongo CCM. Hakuna matumaibi yoyote ya maana kutoka kwao. CDM hawakuweza hata kuwanadi wagombea wa nafasi ya udiwani. Walishindwa hata kumualika mgombea wao wa Zanzibar. Yani mambo ni hovyo.

Upande mwingine mgombea wa CCM alitoa hotuba iliyojaa matumaini, iliyosheheni data na kutoa dira.

Kwa upande wa mgombea wa CCM, hata jinsi alivyosvughulikia ugonjwa wa korona peke yake inatosha kumpigia kampeni

Wapinzani wanasema TBC haiwatendei haki lakini TBC hiyo ikienda kurusha matangazo yao wanafujuzwa. Walisema kuhusu muungano lakini hakuna lolote. Tuwakatae.

#2020 kura kwa John
Toa uchafuu huu
 
Upinzani bado haujajipanga kuchukua dola.
Vuta kumbukumbu ni nini Prof Mwandosya alisema 2015 juu ya Magufuli....kwamba John hajawahi kuongoza hata nyumba 10 hivyo hafai kuwa rais.

Kumbuka pia nini Kinana na Nape walisema kwenye Sauti zilizodukuliwa....kwamba John Ni mshamba Sana

Sasa Kati ya John na hawa wapinzani ( Lisu/Membe/Maalim Seif) huoni kama John ndiye hafai?
 
Wewe tulia hapo tanga na kucheza bao ndiyo kazi utakayo weza
 
Vuta kumbukumbu ni nini Prof Mwandosya alisema 2015 juu ya Magufuli....kwamba John hajawahi kuongoza hata nyumba 10 hivyo hafai kuwa rais.

Kumbuka pia nini Kinana na Nape walisema kwenye Sauti zilizodukuliwa....kwamba John Ni mshamba Sana

Sasa Kati ya John na hawa wapinzani ( Lisu/Membe/Maalim Seif) huoni kama John ndiye hafai?
Sasa wewe unaangaliaje maneno ya watu wachache na kuyafanya kuwa kweli? Hatahivyo, hao wote wameshaomba msamaha

Kikubwa wewe mwenyewe umeona mzee mambo ametenda. Amethibitisha kuwa anaweza na zaidi ya kuweza
 
Wanabodi,

Ninafurahi kuona kampeni za Uchaguzi mkuu wa 2020 zimeanza huku amani ikitamalaki licha ya changamoto za hapa na pale.

Nimefuatilia uzinduzi wa kampeni wa vyama vya CCM, CDM na ACT- Wazalendo na kugundua kuwa Upinzani bado haujajipanga kuchukua dola.

Uzinduzi wao umejawa na ulalamishi na kupiga madongo CCM. Hakuna matumaibi yoyote ya maana kutoka kwao. CDM hawakuweza hata kuwanadi wagombea wa nafasi ya udiwani. Walishindwa hata kumualika mgombea wao wa Zanzibar. Yani mambo ni hovyo.

Upande mwingine mgombea wa CCM alitoa hotuba iliyojaa matumaini, iliyosheheni data na kutoa dira.

Kwa upande wa mgombea wa CCM, hata jinsi alivyosvughulikia ugonjwa wa korona peke yake inatosha kumpigia kampeni

Wapinzani wanasema TBC haiwatendei haki lakini TBC hiyo ikienda kurusha matangazo yao wanafukuzwa. Walisema kuhusu muungano lakini hakuna lolote. Tuwakatae.

#2020 kura kwa John
Yani kununua ndege ndo matumaini?kujenga uwanja wa mpira ndo matumaini?
Pathetic
 
Utatetea ccm kwasababu ya uvivu wako na akili changa ya mambo ukikua utabadilika.
 
Kununua ndege kiuchumi Kuna maana Sana na ndio maana mataifa yote yanayojielewa yana mashirika yake ya ndege.

Hatahivyo, Dr. Magufuli hakuongelea ishu ya ndege tuu, aligusia mambo kibao
 
Back
Top Bottom