Uchaguzi 2020 Wapinzani hawako tayari kuongoza nchi

Uchaguzi 2020 Wapinzani hawako tayari kuongoza nchi

Mtahangaika sana.. Kura zote kwa Lissu.. mwambieni huyo mzee lissu atampangia kazi nyingine..
Wanabodi,

Ninafurahi kuona kampeni za Uchaguzi mkuu wa 2020 zimeanza huku amani ikitamalaki licha ya changamoto za hapa na pale.

Nimefuatilia uzinduzi wa kampeni wa vyama vya CCM, CDM na ACT- Wazalendo na kugundua kuwa Upinzani bado haujajipanga kuchukua dola.

Uzinduzi wao umejawa na ulalamishi na kupiga madongo CCM. Hakuna matumaibi yoyote ya maana kutoka kwao. CDM hawakuweza hata kuwanadi wagombea wa nafasi ya udiwani. Walishindwa hata kumualika mgombea wao wa Zanzibar. Yani mambo ni hovyo.

Upande mwingine mgombea wa CCM alitoa hotuba iliyojaa matumaini, iliyosheheni data na kutoa dira.

Kwa upande wa mgombea wa CCM, hata jinsi alivyosvughulikia ugonjwa wa korona peke yake inatosha kumpigia kampeni

Wapinzani wanasema TBC haiwatendei haki lakini TBC hiyo ikienda kurusha matangazo yao wanafukuzwa. Walisema kuhusu muungano lakini hakuna lolote. Tuwakatae.

#2020 kura kwa John
 
Mtahangaika sana.. Kura zote kwa Lissu.. mwambieni huyo mzee lissu atampangia kazi nyingine..
Tabutupu, nikuhakikishie tuu kuwa matokeo ya uchaguzi mkuu yakitoka, moyo wako na mioyo ya wengine waliopo upande huo wako itapata sawasawa na jina lako
 
Wanabodi,

Ninafurahi kuona kampeni za Uchaguzi mkuu wa 2020 zimeanza huku amani ikitamalaki licha ya changamoto za hapa na pale.

Nimefuatilia uzinduzi wa kampeni wa vyama vya CCM, CDM na ACT- Wazalendo na kugundua kuwa upinzani bado haujajipanga kuchukua dola.

Uzinduzi wao umejawa na ulalamishi na kupiga madongo CCM. Hakuna matumaini yoyote ya maana kutoka kwao. CHADEMA hawakuweza hata kuwanadi wagombea wa nafasi ya udiwani. Walishindwa hata kumualika mgombea wao wa Zanzibar. Yani mambo ni hovyo.

Upande mwingine mgombea wa CCM alitoa hotuba iliyojaa matumaini, iliyosheheni data na kutoa dira.

Kwa upande wa mgombea wa CCM hata jinsi alivyoshughulikia ugonjwa wa korona peke yake inatosha kumpigia kampeni.

Wapinzani wanasema TBC haiwatendei haki lakini TBC hiyo ikienda kurusha matangazo yao wanafukuzwa. Walisema kuhusu muungano lakini hakuna lolote. Tuwakatae.

#2020 kura kwa John
Wewe popoma, mbona unalalamika tuu.. hueleweki
 
Hukuhitaji kuandika yote. Ungeandika hayo tu kumaanisha ulichotaka kutuambia. Binafsi nasema SITAKI ushauri wako.
Ndugu Mwakibete umejua kweli kubeti na uzi wangu.

Umekataa ushauri Ila mwisho kwa uamuzi wako umeamua kuwa kura yako ni kwa John. Hongera, uamuzi wa busara Sana huo
 
Back
Top Bottom