Ajabu, HatujasikiaKwa kifupi kabisa nina maswali mawili ambayo nataka majibu na si matusi.
Vyema pinzani vinapolalamikia kuwa time so huru, kwanini walikubali kushiriki uchaguzi ambao wanajua unasimamiwa na Tume isiyo huru?
Kwanini mlikubaliana na kanuni za uchaguzi zilizowekwa na tume ambayo si huru?
Sasa mnapovunja kananu na maadili ya uchaguzi ambazo mlikubaliana nazo na kusaini kwanini Tume isiwe na haki ya kuwawajibisha?
Kwanini unakubali kushiriki uchaguzi ambao una uhakika hata ukishinda hauta tangazwa kuwa mshindi Kama wenyewe mnavyo dai.
Narudia tena maomba majibu na si matusi.
Muongo Wewe, ulisikiwa mtutu?Tume sio huru, na hizo kanuni tumesaini kwa shuruti maana hatuna choice. Mlitunga sheria mbovu ili wapinzani wajitoe na mpite bila kupingwa? Uchaguzi wa SM mliuvuruga wote, na kipi mlifanya kuonyesha kuwa hamkufanya haki? Bila machafuko sio rais watu weusi kuheshimiana.
Muongo Wewe, ulisikiwa mtutu?
Lini na wapi?
Usitoe fahamu ndugu, ukitoa CHAUMA hivyo 16+ sio vyama ni maotea tu ya lummumbaAjabu, Hatujasikia
CUF
AAAFP
ADC
CHAUMA
ADA-TADEA nk
Tunalisiki hili genge la m4c na wenzao zambarau only, as if vingine 16+ havipo
Thread close...Tatizo ni vyama kama vya akina Shibuda, Mrema, Mbatia, na akina Lipumba, haya ni matawi ya CCM, chama halisi cha upinzani nadhan ni CHADEMA kama ingekuwa ni CCM na CDM tu ni uhakika CDM wasingekubali uchaguzi kufanyika bila tume huru, balaa ni kwamba CDM ikisusa tu basi akina CUF , TLP, ADATADEA nk wao watashiriki na uchaguzi utakuwa umekidhi vigezo vyote machoni pa mataifa yote. Rejea balaa la JECHA huko 2015 baada ya kupindua meza na uchaguzi kurudiwa, wapinzani halisi walisusa na wapinzani vibaraka wakashiriki, CCM ilishinda takriban kwa 90% hivyo hakuna namna ya kususa uchaguzi ukadhani ni mbadala, tatizo ni hayo matawi ya CCM
Kwa kifupi kabisa nina maswali mawili ambayo nataka majibu na si matusi.
Vyema pinzani vinapolalamikia kuwa time so huru, kwanini walikubali kushiriki uchaguzi ambao wanajua unasimamiwa na Tume isiyo huru?
Kwanini mlikubaliana na kanuni za uchaguzi zilizowekwa na tume ambayo si huru?
Sasa mnapovunja kanani na maadili ya uchaguzi ambazo mlikubaliana nazo na kusaini kwanini Tume isiwe na haki ya kuwawajibisha?
Kwanini unakubali kushiriki uchaguzi ambao una uhakika hata ukishinda hauta tangazwa kuwa mshindi Kama wenyewe mnavyo dai.
Narudia tena maomba majibu na si matusi.
Ili kuonyesha Dunia Watanzania Tumechoka kutawaliwa kidikteta na Familia mojaKwa kifupi kabisa nina maswali mawili ambayo nataka majibu na si matusi.
Vyema pinzani vinapolalamikia kuwa time so huru, kwanini walikubali kushiriki uchaguzi ambao wanajua unasimamiwa na Tume isiyo huru?
Kwanini mlikubaliana na kanuni za uchaguzi zilizowekwa na tume ambayo si huru?
Sasa mnapovunja kanani na maadili ya uchaguzi ambazo mlikubaliana nazo na kusaini kwanini Tume isiwe na haki ya kuwawajibisha?
Kwanini unakubali kushiriki uchaguzi ambao una uhakika hata ukishinda hauta tangazwa kuwa mshindi Kama wenyewe mnavyo dai.
Narudia tena maomba majibu na si matusi.
KANU ilianguka hakukuwa na tume huru Kenya na hapa mwaka huu ccm na tume yao watapigwa chini tu.Kwani nchi ambazo vyama tawala vilianguka hapa Africa kulikuwa na tume huru???
Tume haiwezi kuwa huru kirahisi tu ina nguvu ya umma itaifanya iwe huru. Subiri uone nguvu ya umma mwaka huu wewe kilaza wa lumumba
Huyu nae ni kamanda mwenye akili timamu! Shuruti? Kwani viongozi wetu walishikwa mikono na kulazimishwa kusaini?Tume sio huru, na hizo kanuni tumesaini kwa shuruti maana hatuna choice. Mlitunga sheria mbovu ili wapinzani wajitoe na mpite bila kupingwa? Uchaguzi wa SM mliuvuruga wote, na kipi mlifanya kuonyesha kuwa hamkufanya haki? Bila machafuko sio rais watu weusi kuheshimiana.