Omusolopogasi
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 7,101
- 18,051
Kama yanayosemwa na mkurugenzi wa NEC yote hayajakufuta huu ujinga (hali ya kutokuelewa, inayorekebishika), basi mimi siwezi. I just ignore you. Umezaliwa ili siku moja ufe na ujinga wako.
Kwa kifupi kabisa nina maswali mawili ambayo nataka majibu na si matusi.
Vyema pinzani vinapolalamikia kuwa time so huru, kwanini walikubali kushiriki uchaguzi ambao wanajua unasimamiwa na Tume isiyo huru?
Kwanini mlikubaliana na kanuni za uchaguzi zilizowekwa na tume ambayo si huru?
Sasa mnapovunja kanani na maadili ya uchaguzi ambazo mlikubaliana nazo na kusaini kwanini Tume isiwe na haki ya kuwawajibisha?
Kwanini unakubali kushiriki uchaguzi ambao una uhakika hata ukishinda hauta tangazwa kuwa mshindi Kama wenyewe mnavyo dai.
Narudia tena maomba majibu na si matusi.