Uchaguzi 2020 Wapinzani Kama Tume si huru kwanini mmekubali kushiriki na kusaini kanuni za uchaguzi?

Kama yanayosemwa na mkurugenzi wa NEC yote hayajakufuta huu ujinga (hali ya kutokuelewa, inayorekebishika), basi mimi siwezi. I just ignore you. Umezaliwa ili siku moja ufe na ujinga wako.
 
Bado akuna upinzani unao jielewa,miaka yote tume ndo hii na maneno ndo hayahaya ya kuibiawa kura na bodo wanachukua form na kusaini kwa yuleyule wanaemtuhumu.
 
Umejitahidi kweli kweli.
 
Tatizo ni vyama vinavyoitwa vya upinzani lakini kiuhalisia siyo vya upinzani, ni matawi ya chama tawala. Sasa wapinzani wa kweli wakisusa, wenzao wala.

Niliwahi kuandika hapa, kudai tume huru ya Uchaguzi iwe agenda ya kudumu ya vyama vya upinzani siyo kusubiri wakati wa uchaguzi kwa sababu madai ya kuibiwa kura yamekuwepo muda mrefu sasa kwa chaguzi kadhaa zilizopita lakini hakuna mabadiliko yoyote.

Kinachojitokeza sasa ktk tume ya uchaguzi ni marudio tu ila sasa yamezoeleka hata hayana kificho tena, yapo wazi.
 
Ila safari hii watatema meno.
 
Kama yanayosemwa na mkurugenzi wa NEC yote hayajakufuta huu ujinga (hali ya kutokuelewa, inayorekebishika), basi mimi siwezi. I just ignore you. Umezaliwa ili siku moja ufe na ujinga wako.
Huoni kuwa wewe ndio mjinga zaidi hapo?
 
Tulisaini, na kuingia kwenye uchaguzi ili makosa hujuma ushenzi wizi na ujambazi wa ccm na serikali yake uwe wazi mbele ya jumuia ya kimataifa
WAWADUNGUWE VIZURI
 
Nadhani umepata majibu sahihi kutoka michango ya watu
 
Tanzania hakuna chama cha upinzani, hilo genge la Mbowe lishachuja. Wajiandae kuungana na kaka zao kina ACT, UDP na TLP.
 
Tulisaini, na kuingia kwenye uchaguzi ili makosa hujuma ushenzi wizi na ujambazi wa ccm na serikali yake uwe wazi mbele ya jumuia ya kimataifa
WAWADUNGUWE VIZURI
Watanzania wamewakataa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…