Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,095
- 4,632
Kama Wapinzani wakiendelea kulalamika basi wajue uvumilivu wa Serikali utafika mwisho halafu jambo baya litatokea.
Wapinzani wajikite katika Uchaguzi wa mwaka kesho.
Kama lipo tatizo lolote katika Uchaguzi huu,basi CCM inaweza kufanya internal review.
CCM inaweza kujipeleleza
Wapinzani wanashindwa katika hizi chaguzi kwa sababu hawapendani wao kwa wao.
Tazama yule dada aliyepigwa akasingizia Dola kumbe alikuwa amefumaniwa.
Umoja na upendo katika Chama ni kila kitu. Lakini CHADEMA always ugomvi wao unaongezeka maradufu siku ya Uchaguzi inapozidi kukaribia .
Ndio ushauri wangu isije ikatokea kitu mbaya.