Uchaguzi 2020 Wapinzani mnatambua kabisa Rais Magufuli ni mtendaji, mchapa kazi na mtekelezaji mzuri. Bado hamuoni aibu kuchukua fomu za urais!

CCM wangeruhusu form ya Urais ichukuliwe kidemokrasia kama Zanzibar idadi ya watia nia ya Urais ingeweza kufika hata 500 hata kama wangesema kuchukua form ni tshs milion 10 au zaidi, huko CCM kuna watu wanautaka Urais kuliko hata mtukufu mwenyewe.
Kuutaka urais sio kukubalika kwa wananchi. Tumia akiri wewe bwege. Ametekeleza ilani vizuri ndio maana wamemwachia. Na huu ni utamaduni wa Ccm.
Kama mna akili mgemuuliza mbowe kwa nini ameg'ag'ania uenyekiti wa kudumu? Hiyo ni demokrasia?
 
Kuutaka urais sio kukubalika kwa wananchi. Tumia akiri wewe bwege. Ametekeleza ilani vizuri ndio maana wamemwachia. Na huu ni utamaduni wa Ccm.
Kama mna akili mgemuuliza mbowe kwa nini ameg'ag'ania uenyekiti wa kudumu? Hiyo ni demokrasia?
Wewe mbweha unatumia nini Mbona Akili huna hata punje? au ukivuta Bangi unajiona Akili zimekuja kwako? Mbowe hajang’ang’ania Uenyekiti chaguzi huwa huru huchaguliwa na wananchi wanaipenda chadema ndiyo maana mmeamua kuwabambikia kesi baada ya kushindwa kila mbinu zenu za kishamba, Utamaduni gani wa CCM? Utamaduni wa kupitisha jina moja? Utamaduni wa kuzuia wengine kuchukua form kibabe? Utamaduni wa CCM haufanyi kazi Zanzibar? Utamaduni wa CCM ni kwa Tanganyika pekee? Ukimaliza kuvuta Bangi utulie Bangi ikikuisha kichwani ndipo unijibu
 
Hatuwezi kumwachia nguruwe shamba la mihogo kisa nyama yake ni tamu.

Hv umehama lini NCCR?
 
Mh... Kwa chama kama Chadema! Hakuna mwenye akili atawawaamini. Mnatafuna ruzuku kama mnakula karanga.
Wewe Akili huna unawezaje kujua chadema wanatafuna ruzuku wakati ruzuku ya CCM ndiyo inatafunwa kwa kazi haramu hujaona
 
Kama nikweli unayosema kwanini mnawaeletea bunduki wapinzani wakifanya siasa zao ...
 

Sio bure, umerogwa wewe!
 
Mgonjwa mtambuka ya akili
 
Kama mpaka siasa hujaona Kosa kubwa la Mbowe akiwa kubadili katiba na kuondoa ukomo wa Uongozi wa Uenyekiti ndani ya Chadema basi utakua unakosea sana kuilaumu CCM na Magufuli ambaye ameshika Urais wenye mamlaka makubwa sana kikatiba lakini mapaka sasa ameshatangaza zaidi ya Mara NNE kuwa hawabadili katiba kujiongezea muda.
Lakini pia katiba mkuu wa CCM amatangaza hazarani kuwa Mh.Magufuli hataongezewa hata siku 100 muda wake utakapo isha.
Ndani ya Chadema hakuna mtu mwenye ujasiri wa kutangaza kuwa Mbowe hataongezewa muda baada ya kipindi chake cha miaka kumi kuisha.
Badala yake watu wakashindwa kumkemea Mbowe na sasa ameota mizizi na kujimilikisha Chama na ruzuku yake.
Mwakani ruzuku ni bora ifutwe kwenye vyama vya watu binafsi.
Hatuwezi kuona fedha za walipa kodi zinatumiwa kihuni huni . huku chama kikiwa hakina hata choo ilichojenga achilia mbali ofisi makao makuu.
Yani kweli Chama kina miaka 28 hakina ofisi za makao makuu.
Kweli kabisa mnamsifia Mbowe kwa kufanya nini zaidi ya maandamano ya kuua watoto wa watu .

Huyo Mbowe Uchaguzi mwaka huu ukiisha asithubutu kujipitisha mitaani akijiita Mwenyekiti atakula bakora za mgongoni. Emevuruga sana Chama na kukifanya kionekane kuwa ni chama cha hovyo kabisa.
 


Kwa hio wapinzani hawana haki ya kuona uzuri wa watu wengine isipokuwa wale unaowaona wewe niwazuri?
 
Rais mwoga kuliko yoyote kupata kutokea!!
Rais anayezuia vyama vingine kufanya shughuli zao halali za kisiasa na Kisha kujiambia mwenyewe kuwa anapendwa sana!!
Rais anayeshinda Facebook kuangalia Nani hamsifii na anamkosoa, Rais asiyejiamini hata!!
 
Nonsense. Wananchi wa nchi hii wamezidi kuwa maskini kuliko walivyokuwa miaka mitano nyuma halafu wametuchosha na takwimu feki kila siku wakati watu hawali takwimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…